MBUNGE wa Kigoma Kusini (CCM), Husna Mwilima, ameomba radhi kufuatia kauli yake ya kudai idadi kubwa ya watumishi wa kike katika Shirika la Ndege la Tanzania (ATCL) hawana mvuto, amedai kuwa lengo la kauli yake ilikuwa ni kushinikiza maboresho kwenye shirika hilo.
Mwilima ametoa kauli hiyo Bungeni jijini Dodoma, leo Novemba 14, 2019, wakati wa kipindi cha maswali na majibu kwenda kwa Wizara ya TAMISEMI, ambapo kabla ya kuuliza swali lake aliomba radhi kwa Watanzania.
“Nilitoa ile kauli lengo lilikuwa ni kuboresha Shirika letu la Ndege la ATCL, kwa kuwa ile kauli yangu iliwaboa sana Watanzania hasa wanawake nitumie nafasi hii kuomba radhi Watanzania hasa wanawake wenzangu”, amesema Mbunge Mwilima
Mara baada ya kutoa kauli hiyo, Spika wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai alimpongeza na kusema msamaha wake umepokelewa.
Kauli hiyo aliitoa Novemba 7, 2019 wakati akichangia kwenye mpango wa maendeleo ya Taifa Bungeni jijini Dodoma, Mbunge Mwilima alidai kuwa watumishi wanawake kwenye Shirika la Ndege la ATCL, hawana mvuto na kupelekea kutokuwa na hamasa kwa wateja.
Chanzo – EATV
from MICHUZI BLOG https://ift.tt/2KlFA2n
via
Recommended Products
-
2025 Summer Rapper Feid Ferxxo Men’s Cotton Fashion Hip-hop T-shirt Casual and Comfortable Short-sleeved T-shirt Street Wear
Affliate products $22.00 -
3 IN 1 Magnetic Folding Wireless Charger Station For IPhone Transparent Fast Charging For IWatch And Airpods
Affliate products -
Grandpa Of Love hoodies Human French Letters Dad Papa Papy Gift Men Clothing hoodies
Affliate products $22.00 -
Sale!
Lenovo D18 Drone 8K Aerial HD Dual-Camera Intelligent Obstacle Avoidance Brushless Power 5G WIFI Screen Remote Control GPS Drone
Affliate products Original price was: $7.99.$7.89Current price is: $7.89. -
Mini Portable Face Cordless Shavers Rechargeable USB Electric Shaver Wet & Dry Painless Small Size Machine Shaving For Men
Affliate products $44.00 -
New Original T75 Bone Conduction Wireless Bluetooth 5.3 Headphones Sports Earphones HiFi Sound Quality Waterproof TWS Headset
Affliate products $3.33





