MLEZI wa CCM Mkoa wa Ruvuma Dk.Abdulla Juma Mabodi ambaye pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa akiwasili katika Wilaya ya CCM Songea Mjini kwa ajili ya ziara ya Kikazi ya kuimarisha Chama na Kukagua Utekelezaji wa Ilani ya CCM katika Wilaya hiyo.
WAZEE wa Chama Cha Mapinduzi Songea Mjini wakimvisha Vazi la Heshima la Kimila la kumtambua Mlezi wa CCM Mkoa wa Ruvuma ambaye pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu CCM Taifa kuwa ni Kiongozi Muadilifu aliyetambuliwa rasmi na Wazee wa Wilaya hiyo ambao ni Utaratibu wa Kimila uliasisiwa na Kiongozi Mkuu wa Kijadi ambaye ni Mzee Songea Mbano.
MLEZI wa CCM Mkoa wa Ruvuma Dk.Abdulla Juma Mabodi ambaye pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa akiwa katika Kikao cha ndani na Kamati ya Siasa ya CCM Wilaya ya Songea Mjini.
WANACHAMA wapya waliojiunga na CCM wakila kiapo cha Uanachama mara baada ya kukabidhiwa Kadi za CCM na kupokelewa na Mlezi wa CCM Mkoa wa Ruvuma Dk.Abdulla Juma Mabodi ambaye pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa huko katika Shina namba 4 Tawi la CCM Mtakuja na Kata ya Majengo Wilaya ya CCM Songea Mjini.
WALIOKUWA Viongozi wandamizi wa CHADEMA waliojiunga na CCM na kupokelewa na Mlezi wa CCM Mkoa wa Ruvuma ambaye pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa Dk.Abdulla Juma Mabodi ambao ni Thimoth Tililo (kulia) aliyekuwa Mjumbe wa Mtaa wa Unangwa kupitia CHADEMA Wilaya ya Songea Mjini na aliyekuwa Katibu Mwenezi wa CHADEMA Kata ya Misufini ndugu Juma Marwa Kionyori (kushoto) wakizzumgumza mara baada ya kujiunga na CCM na kupokelewa na Mlezi wa CCM Mkoa wa Ruvuma Dk.Abdulla Juma Mabodi.
MWENYEKITI wa CCM Mkoa wa Ruvuma Ndugu Oddo Killian Mwisho akizungumza katika Kikao cha ndani cha Viongozi na Watendaji wa Serikali kilichohitishwa na Mlezi wa CCM Mkoa wa Ruvuma ambaye pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa Dk.Abdulla Juma Saadalla ‘Mabodi’.
from MICHUZI BLOG http://bit.ly/2PVrKWj
via
Recommended Products
-
2025 Summer Rapper Feid Ferxxo Men’s Cotton Fashion Hip-hop T-shirt Casual and Comfortable Short-sleeved T-shirt Street Wear
Affliate products $22.00 -
3 IN 1 Magnetic Folding Wireless Charger Station For IPhone Transparent Fast Charging For IWatch And Airpods
Affliate products -
Grandpa Of Love hoodies Human French Letters Dad Papa Papy Gift Men Clothing hoodies
Affliate products $22.00 -
Sale!
Lenovo D18 Drone 8K Aerial HD Dual-Camera Intelligent Obstacle Avoidance Brushless Power 5G WIFI Screen Remote Control GPS Drone
Affliate products Original price was: $7.99.$7.89Current price is: $7.89. -
Mini Portable Face Cordless Shavers Rechargeable USB Electric Shaver Wet & Dry Painless Small Size Machine Shaving For Men
Affliate products $44.00 -
New Original T75 Bone Conduction Wireless Bluetooth 5.3 Headphones Sports Earphones HiFi Sound Quality Waterproof TWS Headset
Affliate products $3.33












