MASTAA TYLER PERRY NA RAFIKI YAKE WA KIKE WANATARAJIA MTOTO.

Admin Updates11 years ago121 Views


tyler-perry-father-exepcting-gelila-bekele-lead
Tyler
Perry akiwa na rafiki yake wa kike Gelila Bekele ambaye ametangaza kuwa
ni mjamzito wakitarajia mtoto wao wa kwanza hivi karibuni kwa mujibu wa
Hollywood life.com .
Msichana huyo ambaye ni Muethipoia amekuwa kwenye mahusiano ya
kimapenzi ya muda mrefu na Tyler ambapo wamekuwa wakiachana na kurudiana
kwa huo muda wote.Tyler
alifyatua habari hizo katika sherehe yake ya bethdei yake alipogonga
miaka 45 akidai anajiandaa kwa maisha ya kutolala usiku na kukosa
usingizi akiongeza kwamba maisha yake yatabadilika mno.Hongera Tyler na
Gelila.

0 Votes: 0 Upvotes, 0 Downvotes (0 Points)

Join Us
  • Facebook38.5K
  • X Network32.1K
  • linkedin12.6k
  • youtube23.4k
  • Instagram18.9K
Mchanganyiko
Loading Next Post...
Follow
Sign In/Sign Up Search Trending 0 Cart
Popular Now
Loading

Signing-in 3 seconds...

Signing-up 3 seconds...

Cart
Cart updating

ShopYour cart is currently is empty. You could visit our shop and start shopping.