
Mkuu wa Majeshi, Mstaafu Jenerali George Waitara akishiriki Mashindano ya Mchezo wa Golf ya Kombe la Mkuu wa Majeshi nchini “NMB CDF TROPHY” katika viwanja vya Club ya Golf Lugalo.

Mwenyekiti wa Klabu ya Golf ya Lugalo, Brigedia Jenerali mstaafu, Michael Luwongo akizungumza na waandishi wa habari mara baada ya kuanza rasmi kwa Mashindano ya Mchezo wa Golf ya Mkuu wa Majeshi yanayofanyika kwa siku mbili viwanja vya mchezo huo Lugalo jijini Dar es Salaam. Benki ya NMB imedhamini Mashindano maalum ya Mchezo wa Golf ya Kombe la Mkuu wa Majeshi nchini “NMB CDF TROPHY”.

Baadhi ya wachezaji wa Golf wakipokea sehemu ya vifaa vya kucheza mchezo huo toka kwa mdhamini mkuu wa mashindano hayo, Benki ya NMB kabla ya kuanza kucheza. Benki ya NMB imedhamini Mashindano maalum ya Mchezo wa Golf ya Kombe la Mkuu wa Majeshi nchini “NMB CDF TROPHY”.

Kushoto ni baadhi ya wachezaji wa Golf wakipokea sehemu ya vifaa vya kucheza mchezo huo toka kwa mdhamini mkuu wa mashindano hayo, Benki ya NMB kabla ya kuanza kucheza.

Mchezaji wa Golf, Tumwesige Mujwauzi toka Benki ya NMB akiendelea na Mashindano maalum ya Mchezo wa Golf ya Kombe la Mkuu wa Majeshi nchini “NMB CDF TROPHY” katika viwanja vya Club ya Golf Lugalo jijini Dar es Salaam.

Nahodha wa Timu ya NMB inayoshiriki Mashindano ya Mchezo wa Golf ya Kombe la Mkuu wa Majeshi nchini yaani “NMB CDF TROPHY” akizungumza na wanahabari kuelezea walivyojiandaa kushiriki mchezo huo.

Baadhi ya wachezaji wa Golf katika Mashindano maalum ya Mchezo wa Golf ya Kombe la Mkuu wa Majeshi nchini “NMB CDF TROPHY” linalofanyika viwanja vya TPDF Lugalo Golf Club wakiendelea na mchezo.

Baadhi ya wachezaji wa Golf katika Mashindano maalum ya Mchezo wa Golf ya Kombe la Mkuu wa Majeshi nchini “NMB CDF TROPHY” linalofanyika viwanja vya TPDF Lugalo Golf Club wakiendelea na mchezo.

Mchezaji wa Golf kutoka Benki ya NMB akiendelea na Mashindano ya Mchezo wa Golf ya Kombe la Mkuu wa Majeshi nchini “NMB CDF TROPHY” linalofanyika viwanja vya TPDF Lugalo Golf Club.

Mchezaji wa Golf kutoka Benki ya NMB akiendelea na Mashindano ya Mchezo wa Golf ya Kombe la Mkuu wa Majeshi nchini “NMB CDF TROPHY” linalofanyika viwanja vya TPDF Lugalo Golf Club.

Uzinduzi Mashindano ya Mchezo wa Golf ya Kombe la Mkuu wa Majeshi nchini “NMB CDF TROPHY” katika viwanja vya Golf Lugalo.
from MICHUZI BLOG https://ift.tt/2ZI2uej
via
Recommended Products
-
2025 Summer Rapper Feid Ferxxo Men’s Cotton Fashion Hip-hop T-shirt Casual and Comfortable Short-sleeved T-shirt Street Wear
Affliate products $22.00 -
3 IN 1 Magnetic Folding Wireless Charger Station For IPhone Transparent Fast Charging For IWatch And Airpods
Affliate products -
Grandpa Of Love hoodies Human French Letters Dad Papa Papy Gift Men Clothing hoodies
Affliate products $22.00 -
Sale!
Lenovo D18 Drone 8K Aerial HD Dual-Camera Intelligent Obstacle Avoidance Brushless Power 5G WIFI Screen Remote Control GPS Drone
Affliate products Original price was: $7.99.$7.89Current price is: $7.89. -
Mini Portable Face Cordless Shavers Rechargeable USB Electric Shaver Wet & Dry Painless Small Size Machine Shaving For Men
Affliate products $44.00 -
New Original T75 Bone Conduction Wireless Bluetooth 5.3 Headphones Sports Earphones HiFi Sound Quality Waterproof TWS Headset
Affliate products $3.33






