Marry Chatanda,Jokate waongoza UWT Kuomboleza Nyumbani kwa Lowassa

2 years ago120 Views

Viongozi wa Jumuiya ya Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) wakiongozwa na Mwenyekiti wa UWT Taifa Ndg. Mary Pius Chatanda wamewasili katika Viwanja vya Karimjee,Posta Jijini Dar es Salaam , tayari kwa kutoa heshima za mwisho kwa aliyekuwa Waziri Mkuu Hayati Edward Ngoyai Lowassa.
Wengine ni Makamu Mwenyekiti wa UWT Ndg. Zainab Khamis Shomari,Katibu Mkuu Ndg. Jokate Urban Mwegelo na Mjumbe wa Kamati ya Utekelezaji ya UWT Taifa Ndg. Hawa Ghasia.
Join Us
  • Facebook38.5K
  • X Network32.1K
  • linkedin12.6k
  • youtube23.4k
  • Instagram18.9K
Mchanganyiko

Loading Next Post...
Follow
Sign In/Sign Up Search Trending 0 Cart
Popular Now
Loading

Signing-in 3 seconds...

Signing-up 3 seconds...

Cart
Cart updating

ShopYour cart is currently is empty. You could visit our shop and start shopping.