MAMY BABY Ateuliwa kuwania Ubunge TABORA Aandika Haya Maneno mazito
Naishukuru sana Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya chama changu, Chama cha Mapinduzi (CCM), kwa kuniteua na kunipendekeza kuwania Ubunge Viti Maalum (UWT) Mkoa wa Tabora. Niko tayari kutumika na kuwa Sauti Ya Tabora. CCM na Serikali yake imefanya mageuzi makubwa katika kujenga uchumi wa mtu mmoja mmoja na wa Mkoa wetu muhimu wa Tabora kwa ujumla.
Kwa nafasi hii na ridhaa nitakayoipata iwapo wanachama wenzangu watanipa nafasi hapo Julai 30, 2025 kwenye uchaguzi wetu wa Mkoa, nitatumia vipaji na vipawa vyangu, na kwa kushirikiana na viongozi wenzangu, kwa unyenyekevu na kujituma sana kuwainua akina mama na mkoa wetu kwa ujumla. Kwa wale wajumbe naomba kura yako, kwa Watanzania wenzangu wengine tuombeane kura na dua.
#SAUTIYATABORA
#MkuweAbdulIssale
KaziNaUtuTunasongaMbele
Recommended Products
-
2025 Summer Rapper Feid Ferxxo Men’s Cotton Fashion Hip-hop T-shirt Casual and Comfortable Short-sleeved T-shirt Street Wear
Affliate products $22.00 -
3 IN 1 Magnetic Folding Wireless Charger Station For IPhone Transparent Fast Charging For IWatch And Airpods
Affliate products -
Grandpa Of Love hoodies Human French Letters Dad Papa Papy Gift Men Clothing hoodies
Affliate products $22.00 -
Sale!
Lenovo D18 Drone 8K Aerial HD Dual-Camera Intelligent Obstacle Avoidance Brushless Power 5G WIFI Screen Remote Control GPS Drone
Affliate products Original price was: $7.99.$7.89Current price is: $7.89. -
Mini Portable Face Cordless Shavers Rechargeable USB Electric Shaver Wet & Dry Painless Small Size Machine Shaving For Men
Affliate products $44.00 -
New Original T75 Bone Conduction Wireless Bluetooth 5.3 Headphones Sports Earphones HiFi Sound Quality Waterproof TWS Headset
Affliate products $3.33






