MCHUMBA wa Msanii wa kike wa Bongomovie Elizabeth Michael maarufu Kama Lulu ,Francis Siza almaarufu Dj Majizzo ameonesha kumkubali Mrembo huyo kwa uvumilivu wake kipindi chote tangu amvishe Pete mwanzo mwa mwaka huu na kuhudhuriwa na watu lukuki akiwemo rafiki yake wa karibu Dk.chen.
Kupitia ukurasa wa mtandao wa kijamii wa Instagram wa Majizzo ameandika ujumbe kama ishara ya kuonyesha kumkubali Lulu.
“Nakukubali mshikaji wangu japo mwaka umeisha na ndoa haina dalili lakini bado hujanikatia tamaa nakukubali Sana,”
Aidha, Mrembo huyo wa tasnia ya Bongomovie hakusita kumjibu mchumba wake .
“Nakukubali bro,Mswahili Numero uno tushakuwa ndugu tena maana umenipiga password mpaka tumeanza kufanana yote kheri 2019 nimekosa weeding nimepata twin,”
Hata hivyo Majizzo amempongeza mwanadada Maua sama kwa kuingia jukwaani kwa aina yake akiwa juu ya chuma na kulitendea haki jukwaa la tamasha Muziki mnene lililofanyika wiki iliyopita katika viwanja vya Tanganyika Packers kawe jijini Dar es salaam.
“Waswahili tulikua na hofu kama umeweza kupanda kwenye stage ukiwa juu ya hilo chuma,haikuwa ngumu kwako ukatimiza majukumu yako.
from MICHUZI BLOG https://ift.tt/2ENhUB5
via
Recommended Products
-
2025 Summer Rapper Feid Ferxxo Men’s Cotton Fashion Hip-hop T-shirt Casual and Comfortable Short-sleeved T-shirt Street Wear
Affliate products $22.00 -
3 IN 1 Magnetic Folding Wireless Charger Station For IPhone Transparent Fast Charging For IWatch And Airpods
Affliate products -
Grandpa Of Love hoodies Human French Letters Dad Papa Papy Gift Men Clothing hoodies
Affliate products $22.00 -
Sale!
Lenovo D18 Drone 8K Aerial HD Dual-Camera Intelligent Obstacle Avoidance Brushless Power 5G WIFI Screen Remote Control GPS Drone
Affliate products Original price was: $7.99.$7.89Current price is: $7.89. -
Mini Portable Face Cordless Shavers Rechargeable USB Electric Shaver Wet & Dry Painless Small Size Machine Shaving For Men
Affliate products $44.00 -
New Original T75 Bone Conduction Wireless Bluetooth 5.3 Headphones Sports Earphones HiFi Sound Quality Waterproof TWS Headset
Affliate products $3.33







