Wakazi wa Boko jijini Dar es Salaam wakisoma vipeperushi vya Mahakama Inayotembea wakati gari maalum la Mahakama hiyo lilipokuwa likitoa elimu kwa umma kuhusu Mahakama hiyo.
Dereva wa pikipiki akisoma kipeperushi cha gari maalum la Mahakama Inayotembea leo wakati wa utoaji elimu kwa umma kuhusu mahakama hiyo, huku wenzake wakiendelea kusikiliza matangazo yaliyokuwa yakitolewa na gari hilo kwenye eneo la Boko Magengeni, jijini Dar es Salaam
Wananchi wakipatiwa elimu kuhusu Mahakama Inayotembea na Karani Mkuu wa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Nise Mwasalemba ndani ya gari hilo maalum lililokuwa limepaki eneo la Ofisi ya Mtendaji Kata ya Bunju
Karani wa Mkuu wa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Nise Mwasalemba(mwenye shati la njano ndani ya gari hilo maalum ) akitoa elimu kwa umma kuhusu Mahakama Inayotembea na shughuli zitakazofanywa na Mahakama hiyo, kwa wakazi wa Boko Magengeni, jijini Dar es Salaam wakati wa utoaji wa elimu kwa Umma.
from MICHUZI BLOG https://ift.tt/2PoYGJV
via
Recommended Products
-
2025 Summer Rapper Feid Ferxxo Men’s Cotton Fashion Hip-hop T-shirt Casual and Comfortable Short-sleeved T-shirt Street Wear
Affliate products $22.00 -
3 IN 1 Magnetic Folding Wireless Charger Station For IPhone Transparent Fast Charging For IWatch And Airpods
Affliate products -
Grandpa Of Love hoodies Human French Letters Dad Papa Papy Gift Men Clothing hoodies
Affliate products $22.00 -
Sale!
Lenovo D18 Drone 8K Aerial HD Dual-Camera Intelligent Obstacle Avoidance Brushless Power 5G WIFI Screen Remote Control GPS Drone
Affliate products Original price was: $7.99.$7.89Current price is: $7.89. -
Mini Portable Face Cordless Shavers Rechargeable USB Electric Shaver Wet & Dry Painless Small Size Machine Shaving For Men
Affliate products $44.00 -
New Original T75 Bone Conduction Wireless Bluetooth 5.3 Headphones Sports Earphones HiFi Sound Quality Waterproof TWS Headset
Affliate products $3.33










