Tokyo ni moja kati ya miji maarufu inayofahamika kwa kuwa na huduma ya karibia kila hitaji la mwanadamu duniani, unaweza usiamini ila Tokyo iliyopo ndani Japan ni nchi inayoongoza kwa kuwa na kila huduma inayokidhi mahitaji ya kimapenzi duniani kitu ambacho kinaweza kukufanya uione Japan kama ni walevi wa mapenzi.
Lakini fikra hizi zinaweza zikabadilisha mtazamo wako kuhusu nchi hii pale utakapokutana naTakashai Sakai mwanaume mwenye miaka 41 ambaye hajawahi kukutana na mwanamke toka azaliwe.
Akiwa katika miaka ya 40 na zaidi mwanaume huyu hajawahi kabisa kukutana na mwanamke, kushikana mikono wala kumkumbatia mwanamke yoyote.
Lakini Takashai hayuko peke yake nchini Japan, kwani utafiti unaonyesha kwamba moja kati ya wanaume wanne wakijapan kwenye rika la miaka 30 hadi 40 hawajawahi katika maisha yao kuwakwenye mahusiano ya kimapenzi, kushiriki tendo la ndoa wala kuoa!
baadhi wakiwa wameanua kuishi maisha ya namna hiyo ila kwa wengi waliopo hali hii haikuwa chaguo lao bali walijikuta tuu hawawezi, na wangependa hali hii ibadilike kwani wanatamani kuonja ulimwengu huo sasa.

Lakini kwa asilimia kubwa ya wanaume wenye hali hii Japan darasa la uchoraji wa watu wakiwa hawajavaa nguo ambalo linaitwa “Nude Art Class” .. hili ni suluhisho dogo kwa uhalisia walio nao na kwa upande wa pili ni fursa pekee walionayo kumuona mwanamke akiwa mtupu!! Mmoja ya walimu wa vipindi hivyo alisikika kwenye interview fupi akisema;
>>> “madarasa kama haya hujaribu kuwasaidia watu kama hawa kuenjoy uumbaji wa jinsia ya kike kupitia uchoraji, tunafanya hivi kuijenga saikolojia ya wanaume hawa kuwaona wanawake sio watu wa kuwaogopa na hatimaye kuvunja uwoga wao wa kufanya mapenzi, hii ndio dhamira yetu”.
Watafiti wamesema ongezeko la wanaume wenye shida hii imekua ikionekana kama kikwazo kwa ukuwaji wa nchi kwasabau idadi ya wanaume hawa inavyo ongezeka, idadi ya uzaaji unapungua na hatimae kupunguza idadi ya watu nchini. Hili linaoneka kua kama janga kwa moja ya nchi yenye uchumi mkubwa duniani.
Recommended Products
-
2025 Summer Rapper Feid Ferxxo Men’s Cotton Fashion Hip-hop T-shirt Casual and Comfortable Short-sleeved T-shirt Street Wear
Affliate products $22.00 -
3 IN 1 Magnetic Folding Wireless Charger Station For IPhone Transparent Fast Charging For IWatch And Airpods
Affliate products -
Grandpa Of Love hoodies Human French Letters Dad Papa Papy Gift Men Clothing hoodies
Affliate products $22.00 -
Sale!
Lenovo D18 Drone 8K Aerial HD Dual-Camera Intelligent Obstacle Avoidance Brushless Power 5G WIFI Screen Remote Control GPS Drone
Affliate products Original price was: $7.99.$7.89Current price is: $7.89. -
Mini Portable Face Cordless Shavers Rechargeable USB Electric Shaver Wet & Dry Painless Small Size Machine Shaving For Men
Affliate products $44.00 -
New Original T75 Bone Conduction Wireless Bluetooth 5.3 Headphones Sports Earphones HiFi Sound Quality Waterproof TWS Headset
Affliate products $3.33






