Kocha Mpya Yanga Huyu Hapa,Achukua Rasmi nafasi ya Miguel Gamond

1 year ago122 Views

Yanga SC wamemtangaza rasmi Sead Ramovic (45) Raia wa Ujerumani kuwa Kocha wao Mkuu akija kuchukua mikoba ya Miguel Gamond ambaye amefutwa kazi na Yanga SC saa chache zilizopita.
Sead anajiunga na Yanga akitokea TS Galaxy ya Afrika Kusini aliyodumu nayo kwa miaka mitatu 2021-2024 kabla ya kujiunga na Yanga SC ya Tanzania.
Sead hana uzoefu sana wa soka la Afrika lakini wasifu wake unaonesha amewahi kucheza soka katika vilabu vikubwa vya Ligi Kuu Ujerumani kama VFL Wolfsburg na Borussia Mongladbach.
Join Us
  • Facebook38.5K
  • X Network32.1K
  • linkedin12.6k
  • youtube23.4k
  • Instagram18.9K
Mchanganyiko

Loading Next Post...
Follow
Sign In/Sign Up Search Trending 0 Cart
Popular Now
Loading

Signing-in 3 seconds...

Signing-up 3 seconds...

Cart
Cart updating

ShopYour cart is currently is empty. You could visit our shop and start shopping.