
Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Dkt. Faraji Kasidi Mnyepe (kushoto) akisaini kitabu cha Wageni alipokutana kwa mazungumzo na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa China Mhe. Chen Xiaoding (kulia) jijini Beijing, China Desemba 11, 2019. Dkt. Mnyepe yupo nchini humo kushiriki Mkutano wa Pili wa Jukwaa la Haki za Binadamu kwa Nchi zinazoendelea.
Dkt. Mnyepe amemuhakikishia Mhe. Chen kuwa, Tanzania itaendelea kudumisha ushirikiano na China kupitia Jukwa la Ushirikiano kati ya Afrika na China (Forum on China-Africa Cooperation – FOCAC). Aidha, kwa pamoja wamekubaliana kuendelea kushirikiana katika kuhakikisha kuwa, mageuzi ya Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa yanakuwa na tija kwa chi zinazoendelea hususan nchi za Afrika.

Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Dkt. Faraji Kasidi Mnyepe (kushoto) na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa China Mhe. Chen Xiaoding wakiwa katika picha ya pamoja jijini Beijing, China.

Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Dkt. Faraji Kasidi Mnyepe (kushoto) akisalimiana na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa China Mhe. Chen Xiaoding walipokutana kwa mazungumzo jijini Beijing, China Desemba 11, 2019
from MICHUZI BLOG https://ift.tt/2RKzuxg
via
Recommended Products
-
2025 Summer Rapper Feid Ferxxo Men’s Cotton Fashion Hip-hop T-shirt Casual and Comfortable Short-sleeved T-shirt Street Wear
Affliate products $22.00 -
3 IN 1 Magnetic Folding Wireless Charger Station For IPhone Transparent Fast Charging For IWatch And Airpods
Affliate products -
Grandpa Of Love hoodies Human French Letters Dad Papa Papy Gift Men Clothing hoodies
Affliate products $22.00 -
Sale!
Lenovo D18 Drone 8K Aerial HD Dual-Camera Intelligent Obstacle Avoidance Brushless Power 5G WIFI Screen Remote Control GPS Drone
Affliate products Original price was: $7.99.$7.89Current price is: $7.89. -
Mini Portable Face Cordless Shavers Rechargeable USB Electric Shaver Wet & Dry Painless Small Size Machine Shaving For Men
Affliate products $44.00 -
New Original T75 Bone Conduction Wireless Bluetooth 5.3 Headphones Sports Earphones HiFi Sound Quality Waterproof TWS Headset
Affliate products $3.33






