Ndege Inatua Leo Katika Ardhi ya Tanzania ni Ndege ya 8 KWENYE Orodha ya Ndege za AIR TANZANIA
1. Boeing 787-8 Zipo 2
2. Forker 50 Ipo 1
3. Bombardier Dash 8-400 Zipo 3
4. Bombardier Dash 8-300 Ipo 1
5. Airbus A220-300 Zipo 2
Ndege Hii Mpya Imesajiliwa Kwa Usajili Namba 5H-TCJ na Imepewa Brand Name ya Visiwa vya RUBONDO ISLAND Vilivyopo Mkoani Mwanza Vyenye Ukubwa wa Kilometre za Mraba 456.8 Sawa na Kushabihiana Ukubwa wa Manispaa ya KINONDONI Mkoa wa DAR ES SALAAM
Ndege Mpya ya Air TANZANIA Boeing 787-8 Ina Uwezo wa Kutembea Kilometres 13620 Sawa na saa zaidi ya 12 Hewani Bila ya Kusimama
Inabeba Lita 101,000 za Mafuta na Ina Ukubwa wa MITAA 56.72 Yaani Ni Sawa na Nusu ya Uwanja wa Mpira wa Miguu
Inabeba Jumla ya Abiria 262
Ina Uwezo wa Kubeba Uzito wa Tani 227 Yaani 227,930Kg Wakati wa Kupaa Uzito wa Hujumuisha Uzito wa Chombo,Mizigo,Mafuta na Inapotua Inatakiwa Iwe na Tani 172 za Uzito, Hii Inatokana na Kupungua Kwa Kiasi Cha Mafuta Wakati wa Kutua .
Sifa ya Ndege Hii Ina Uwezo Mkubwa wa Kuhimili Hali Nzito ya Hewa Ikiwa KWENYE Umbali Mrefu Kwenda Juu
Leo Tunaipokea Katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa JNIA
Mgeni RASMI ni Mhe RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, H:E Dr JOHN POMBE MAGUFULI
from MICHUZI BLOG https://ift.tt/2oiT9rB
via
Recommended Products
-
2025 Summer Rapper Feid Ferxxo Men’s Cotton Fashion Hip-hop T-shirt Casual and Comfortable Short-sleeved T-shirt Street Wear
Affliate products $22.00 -
3 IN 1 Magnetic Folding Wireless Charger Station For IPhone Transparent Fast Charging For IWatch And Airpods
Affliate products -
Grandpa Of Love hoodies Human French Letters Dad Papa Papy Gift Men Clothing hoodies
Affliate products $22.00 -
Sale!
Lenovo D18 Drone 8K Aerial HD Dual-Camera Intelligent Obstacle Avoidance Brushless Power 5G WIFI Screen Remote Control GPS Drone
Affliate products Original price was: $7.99.$7.89Current price is: $7.89. -
Mini Portable Face Cordless Shavers Rechargeable USB Electric Shaver Wet & Dry Painless Small Size Machine Shaving For Men
Affliate products $44.00 -
New Original T75 Bone Conduction Wireless Bluetooth 5.3 Headphones Sports Earphones HiFi Sound Quality Waterproof TWS Headset
Affliate products $3.33







