Mahaba
nimalize! Mastaa wapendanao, Wema Isaac Sepetu ‘Madam’ na Nasibu Abdul
‘Diamond Platnumz’ wamesababisha tukio jipya kama kawaida yao, safari
hii wameishtua kadamnasi kwa kuzindua gari jipya kwa mahaba mazito ndani
yake, Ijumaa Wikienda lilinyaka mchongo mzima.

Tukio hilo lililojiri kama muvi ya mapenzi (romantic movie) lilitokea
mwishoni mwa wiki iliyopita kwenye Ukumbi wa Golden Jubilee uliopo
Posta jijini Dar wakati Diamond alipokuwa akisherehekea siku yake ya
kuzaliwa na kujizawadia ndinga aina ya BMW X6 ambalo waliligeuza kuwa
uwanja wa malovee wakati walipokwenda kukabidhiwa na menejimenti yake ya
Wasafi.

Awali, waalikwa sambamba na mastaa mbalimbali wakusanyika kwenye
ukumbi huo na ilipofika saa 5:00 usiku, Diamond akiwa ameambatana na
ubavu wake, Wema sambamba na mama yake mzazi, Sanura Kassim ‘Sandra’,
waliingia na sherehe kuanza.
ukumbi huo na ilipofika saa 5:00 usiku, Diamond akiwa ameambatana na
ubavu wake, Wema sambamba na mama yake mzazi, Sanura Kassim ‘Sandra’,
waliingia na sherehe kuanza.
Wema Isaac Sepetu ‘Madam’ na Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ wakila ‘romansi’
Baada ya sherehe hiyo kupambwa na matukio mbalimbali zikiwemo bendi
za asili na wasanii, ulifika wakati wa zawadi ndipo wageni waalikwa
walipoanza kujinadi kupitia kipaza sauti na mwishoni ikawa ni zamu ya
menejimenti ya Wasafi ambayo ilitamka kuwa inatoa gari hilo.
za asili na wasanii, ulifika wakati wa zawadi ndipo wageni waalikwa
walipoanza kujinadi kupitia kipaza sauti na mwishoni ikawa ni zamu ya
menejimenti ya Wasafi ambayo ilitamka kuwa inatoa gari hilo.
Recommended Products
-
2025 Summer Rapper Feid Ferxxo Men’s Cotton Fashion Hip-hop T-shirt Casual and Comfortable Short-sleeved T-shirt Street Wear
Affliate products $22.00 -
3 IN 1 Magnetic Folding Wireless Charger Station For IPhone Transparent Fast Charging For IWatch And Airpods
Affliate products -
Grandpa Of Love hoodies Human French Letters Dad Papa Papy Gift Men Clothing hoodies
Affliate products $22.00 -
Sale!
Lenovo D18 Drone 8K Aerial HD Dual-Camera Intelligent Obstacle Avoidance Brushless Power 5G WIFI Screen Remote Control GPS Drone
Affliate products Original price was: $7.99.$7.89Current price is: $7.89. -
Mini Portable Face Cordless Shavers Rechargeable USB Electric Shaver Wet & Dry Painless Small Size Machine Shaving For Men
Affliate products $44.00 -
New Original T75 Bone Conduction Wireless Bluetooth 5.3 Headphones Sports Earphones HiFi Sound Quality Waterproof TWS Headset
Affliate products $3.33