JE ULISHAWAHI KUWA KWENYE MAHUSIANO NA MTU ALIYEKOSEA NUMBER YA SIMU?SOMA HII STORI YA KWELI

10 years ago104 Views

Kwa kawaida binadamu tumekuwa tukiingia kwenye mahusiano ya kimapenzi katika mazingira tofauti tofauti mfano kwenye daladala,kwenye mkusanyiko wa sherehe,kwenye mazingira ya kutafuta elimu n.k.

Nia na madhumuni kutaka kufahamu je ushawahi kuwa na mahusiano na mvulana/msichana aliekosea namba kwenye simu yako ?

Na kama ushawahi je mahusiano yenu bado yapo hai au mmekwisha achana na mwenzi wako ?

Karibuni wadau tuweze ku share experience

Join Us
  • Facebook38.5K
  • X Network32.1K
  • linkedin12.6k
  • youtube23.4k
  • Instagram18.9K
Mchanganyiko

Loading Next Post...
Follow
Sign In/Sign Up Search Trending 0 Cart
Popular Now
Loading

Signing-in 3 seconds...

Signing-up 3 seconds...

Cart
Cart updating

ShopYour cart is currently is empty. You could visit our shop and start shopping.