Idris Sultan na Ommy Dimpoz walivyoalikwa kama wageni rasmi shuleni (+Pichaz)

Admin Updates9 years ago7 Views

Mshindi wa shindano la Big Brother Africa 2014Idris Sultan na msanii wa Bongo Fleva Ommy Dimpoz waliungana kwa kuhudhuria mahafali ya kidato cha nne ya Mbezi High School, Mbezi ya Kimara Dar es salaam.
IMG-20151017-WA0024[1]
Inawezekana unajua ama hujui mtu wangu lakini Idris Sultan na Ommy Dimpozwanashare kitu kimoja muhimu, mastaa hawa wawili walishawahi kusoma shule moja ambayo ndio hiyo Mbezi High School japo miaka tofauti ambapo kwenye mwaliko huu wa mahafali ya kidato cha nne alikuwemo pia Waziri wa habari, utamaduni na michezo, Dr. Fenella Ephraim Mukangara.
IMG-20151017-WA0034[1]

Idris na Ommy kwenye kitabu cha wageni kwenye ofisi za walimu.
IMG-20151017-WA0033[1]

Idris kwenye meza kuu.
IMG-20151017-WA0029[1]

Ommy Dimpoz, Idris Sultan na Dr. Fenella Mukangara kwenye picha ya pamoja na viongozi wengine wa shule ya Mbezi High School.
IMG-20151017-WA0021[1]

Idris alipewa mic aseme neno na wahitimu wa kidato cha nne wa shule yake, Mbezi High School.
IMG-20151017-WA0028[1]

Mshindi wa BBA 2014 na mchekeshaji Idris Sultan kwenye ubora wake.
IMG-20151017-WA0023[1]

Baadhi ya wahitimu wa kidato cha nne wakaomba picha na mshindi wa Big Brother Africa 2014..
IMG-20151017-WA0027[1]

Matron wa wanafunzi na Idris.
IMG-20151017-WA0031[1]

Ommy Dimpoz, Idris Sultan na Dr. Fenella Mukangara.
IMG-20151017-WA0030[1]
IMG-20151017-WA0022[1]

Idris Sultan na Ommy Dimpoz wakiwa wanaondoka Mbezi High School.
Join Us
  • Facebook38.5K
  • X Network32.1K
  • linkedin12.6k
  • youtube23.4k
  • Instagram18.9K
Mchanganyiko
Loading Next Post...
Follow
Sign In/Sign Up Search Trending
Popular Now
Loading

Signing-in 3 seconds...

Signing-up 3 seconds...