HAYAWI HAYAWI: WEMA AONYESHA PETE YAKE YA UCHUMBA..MCHUMBA’AKE NI SIRI KUBWA

11 years ago139 Views



Leo katika pita pita zangu kwenye kurasa za mastaa mtandaoni nimekutana
na hii picha ya madam kwenye ukurasa wa mmoja kati ya wapambe wake na
kuandikiwa maneno “Ni nini Icho kwani kidolen?”.

Picha hii ya Madam imeibua komenti  kabao huku wengine wakisifia na
kutoa vijembe kwa wale wanaochonga sana kuhusu madam, huku wengine
wakiendelea kuponda kuwa madamu anajifariji tu kutokana na kile
wanachodai kuwa mapigo ya Diamond na Zari yanampeleka puta.

Nimnyukano tu wamaneno unaoendelea huko Insta baina ya team hizo mbili.

Wale wajuzi hebu fungukeni hiyo pete ni yauchumba au? Kama ni kweli basi
tumpongeze madam kwa hatua hiyo, kuhusu nani amemvisha hata mimi sijui.

0 Votes: 0 Upvotes, 0 Downvotes (0 Points)

Join Us
  • Facebook38.5K
  • X Network32.1K
  • linkedin12.6k
  • youtube23.4k
  • Instagram18.9K
Mchanganyiko

Loading Next Post...
Follow
Sign In/Sign Up Search Trending 0 Cart
Popular Now
Loading

Signing-in 3 seconds...

Signing-up 3 seconds...

Cart
Cart updating

ShopYour cart is currently is empty. You could visit our shop and start shopping.