Harmonize Kuachia Ngoma Nne kwa Mpigo Daimond Ndani

7 years ago98 Views

Harmonize Kuachia Bonge la Ngoma Akimshirikisha Daimond

Msanii wa muziki wa Bongo Fleva kutoka katika lebo ya muziki ya WCB Harmonize ametangaza ujio wa ngoma yake mpya aliyoipa jina la AfroBongo muda wowote kuazia sasa hivi, aliyowashirikisha Diamond na Burna Boy kutoka Nigeria.

Kupitia ukurasa wake wa Instagram msanii huyo ameandika haya:-

Ingawa ameongeza kuwa ataachia nyimbo nne kwa wakati mmoja.

from UDAKU SPECIAL BLOG http://bit.ly/2DSWAZS
via

0 Votes: 0 Upvotes, 0 Downvotes (0 Points)

Join Us
  • Facebook38.5K
  • X Network32.1K
  • linkedin12.6k
  • youtube23.4k
  • Instagram18.9K
Mchanganyiko

Loading Next Post...
Follow
Sign In/Sign Up Search Trending 0 Cart
Popular Now
Loading

Signing-in 3 seconds...

Signing-up 3 seconds...

Cart
Cart updating

ShopYour cart is currently is empty. You could visit our shop and start shopping.