Haji MANARA Amaliza Bifu Lake na Shaffih Dauda…Ampa Mwaliko Kwenye Uzinduzi wa Perfume yake na Kusema Haya

7 years ago122 Views

Mchambuzi wa mpira na msimamizi wa vipindi vya kituo cha Radio cha Clouds Fm, Shaffih Dauda ni moja ya watu walioalikwa na Msemaji wa klabu ya Simba, Haji Manara kwenye uzinduzi wa Manukato yake ya De La Boss .

Ameandika haya Instagram

Unajua nn kilitokea kule Kinshasa baada ya kichapo kile? Nawaibia siri kdogo,jamaa immediately akapost dhihaka moja ya kutuumiza, bad luck akaja hotelini kwetu!! Nilikuwa zaidi ya Chui nilipomuona, ila ni mambo ya kispoti na huwa yanaisha pale pale,na siku zote tukiparurana mitandaoni sio kwamba tunachukiana ila kila mmoja anatetea mkate wake,yy anatafuta followers 😀 Mm natetea Simba yangu!! Okey Mzee wa Underdog na mmoja ktk Wachuuzi (tholi Wachambuzi) au boy from Senene in the house! Muelewe mm sina nongwa nikikueleze langu ndio yashaisha hvyo!! Karibu Mr Underdog 🚶🚶 @shaffihdauda #DeLaBossNight2019! @shaffihdauda amethibitisha kuwepo kesho na ataniletea zawadi ya Senene wa kuchoma

Mualiko huo unakuja katika kipindi hiki ambacho Shaffih Dauda na Haji Manara wamekuwa wakizozana kwenye mitandao ya kijamii.

Uzinduzi huo unatarajiwa kufanyika leo Jumapili Januari 27, 2019 katika Hoteli ya Hyatt Regency utahudhuriwa pia na mastaa kibao akiwemo Diamond Platnumz na Alikiba.

from UDAKU SPECIAL BLOG http://bit.ly/2G0tQRI
via

0 Votes: 0 Upvotes, 0 Downvotes (0 Points)

Join Us
  • Facebook38.5K
  • X Network32.1K
  • linkedin12.6k
  • youtube23.4k
  • Instagram18.9K
Mchanganyiko

Loading Next Post...
Follow
Sign In/Sign Up Search Trending 0 Cart
Popular Now
Loading

Signing-in 3 seconds...

Signing-up 3 seconds...

Cart
Cart updating

ShopYour cart is currently is empty. You could visit our shop and start shopping.