Mbunge wa Ukonga na Waziri wa Ardhi Mhe.Jerry Silaa akiwa na Diwani wa Kata ya Chanika na Naibu Meya wa Manispaa ya Ilala Mhe. Ojambi Masaburi Mapema leo walivyoupokea na Kuukimbiza Mwenge wa Uhuru mwaka 2024 ambapo Mwenge Huo umeingia Wilaya ya Ialala na kuzindua Miradi Mbalimbali ya Maendeleo jimboni Ukonga.