GSM Aichangia CCM Bilioni 10 Kampeni za Uchaguzi

Masama BlogKITAIFASIASAMATUKIO5 months ago161 Views

GSM Aichangia CCM Bilioni 10 Kampeni za Uchaguzi

Katika harambee ya Chama cha Mapinduzi (CCM) inayoendelea leo Agosti 12, katika kumbi za Mlimani City jijini Dar es salaam, Mfanyabiashara Ghalib Said Mohamed ( GSM) ametoa shilingi Bilioni 10 kama mchango wake kusaidia kampeni za Wagombea wa Urais wa Chama hicho.

Tofauti na mchango huo, Club ya Yanga ambayo anaidhamini nayo imetoa shilingi milioni 100 kuisadia CCM katika Kampeni zake.

Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan ndiye Mgeni rasmi wa harambee hii.

HABARI PICHA: Jionee RC Balozi Batilda Buriani alivyopokea Mwenge wa Uhuru Jijini Tanga

Join Us
  • Facebook38.5K
  • X Network32.1K
  • linkedin12.6k
  • youtube23.4k
  • Instagram18.9K
Mchanganyiko
Loading Next Post...
Follow
Sign In/Sign Up Search Trending 0 Cart
Popular Now
Loading

Signing-in 3 seconds...

Signing-up 3 seconds...

Cart
Cart updating

ShopYour cart is currently is empty. You could visit our shop and start shopping.