RC Pwani-Mhandisi Evarist Ndikilo
NA MWAMVUA MWINYI, PWANI
MWENYEKITI wa kamati ya ulinzi na usalama mkoani Pwani, mhandisi Evarist Ndikilo amesema wanalitafuta gari aina ya IST ambalo linadaiwa kutumika na mtu mwenye asili ya kiarabu kumchukua mwanafunzi wa shule ya sekondari Tumbi ,kidato cha pili ambae walizunguka nae hadi Mlandizi na kwenda kumtelekeza Ubungo.
Alitoa rai hiyo ,wakati akizungumza na wanafunzi ,wazazi na walimu wa shule ya msingi Kibaha Indepent (KIPS).Alisema nia na madhumuni ya watu hao haijajulikana bado kwani hawajamdhulu mtoto huyo.
Alieleza vyombo vya dola vipo kazini kilisaka gari hilo na mtu ama watu hao ili kuwachukulia hatua za kisheria.Ndikilo aliwaonya watoto hususan wanafunzi kuacha tabia ya kuomba au kupewa rift ama kupakiwa katika magari wasiyoyajua ili kuepuka kutekwa au kupata madhara.
Pia aliwaomba wazazi na walezi kusaidiana kuwakanya watoto wao kuacha kupenda rift .“Tunawapa salamu watu hao waliofanya tukio hilo ,kwamba wajue watakimbia ila tutawakamata kwani haijulikani dhamira yao kuchukua watoto wa watu kuwazungusha na kwenda kuwatelekeza mbali “alisema Ndikilo.
from MICHUZI BLOG https://ift.tt/2Me4OjE
via
Recommended Products
-
2025 Summer Rapper Feid Ferxxo Men’s Cotton Fashion Hip-hop T-shirt Casual and Comfortable Short-sleeved T-shirt Street Wear
Affliate products $22.00 -
3 IN 1 Magnetic Folding Wireless Charger Station For IPhone Transparent Fast Charging For IWatch And Airpods
Affliate products -
Grandpa Of Love hoodies Human French Letters Dad Papa Papy Gift Men Clothing hoodies
Affliate products $22.00 -
Sale!
Lenovo D18 Drone 8K Aerial HD Dual-Camera Intelligent Obstacle Avoidance Brushless Power 5G WIFI Screen Remote Control GPS Drone
Affliate products Original price was: $7.99.$7.89Current price is: $7.89. -
Mini Portable Face Cordless Shavers Rechargeable USB Electric Shaver Wet & Dry Painless Small Size Machine Shaving For Men
Affliate products $44.00 -
New Original T75 Bone Conduction Wireless Bluetooth 5.3 Headphones Sports Earphones HiFi Sound Quality Waterproof TWS Headset
Affliate products $3.33







