Ellie Mpanzu Aigomea SIMBA Kuingia Kambini, Kisa ni Hiki hapa

Masama BlogMICHEZO8 months ago267 Views

Ellie Mpanzu Aigomea SIMBA Kuingia Kambini

Kiungo Mshambuliaji wa Simba SC Ellie Mpanzu Ameugomea Uongozi wa Simba Uliomtaka ajiunge na kambi ya Simba Hapo Kesho akishinikiza Klabu hiyo ilipe AJ Vanquer kiasi cha Shilingi Milioni 190 za Ada ya Usajili ambayo Simba wanadaiwa.

AJ Vainquer ni Wasimamizi na Wamiliki wa Mchezaji Ellie Mpanzu.Taarifa za Kuaminika Kutoka kwenye vyanzo Rasmi vya Mchezaji huyo vinasema Mpanzu hatajiunga na kambi ya Simba Mpaka Pale Deni Hilo litakapolipwa.

0 Votes: 0 Upvotes, 0 Downvotes (0 Points)

Join Us
  • Facebook38.5K
  • X Network32.1K
  • linkedin12.6k
  • youtube23.4k
  • Instagram18.9K
Mchanganyiko

Loading Next Post...
Follow
Sign In/Sign Up Search Trending 0 Cart
Popular Now
Loading

Signing-in 3 seconds...

Signing-up 3 seconds...

Cart
Cart updating

ShopYour cart is currently is empty. You could visit our shop and start shopping.