Na Catherine Sungura,WAMJW
Katibu Mkuu,Wizara ya Afya Dkt.Zainabu Chaula amewapongeza timu ya wizara ya afya , taasisi zake pamoja na manispaa ambao walishiriki kutoa huduma kwenye mkutano wa 39 wa SADC ulomalizika leo jijini Dar es Salaam.
Dkt.Chaula ametoa pongezi hizo baada ya kumalizika kwa mkutano huo na kukutana na timu hiyo na kufanya mazungumzo na watumishi hao.“Mmefanya kazi kubwa na nzuri sana katika utoaji huduma kwenye mkutano huu hakika mnastahili pongezi”.Alisema Dkt.Chaula.
Aidha, Katibu Mkuu huyo alisema kama mtendaji mkuu atatafuta namna ya kuwawezesha watoa huduma wengine kujengewa uwezo na timu hiyo mahali walipotoka ili kutembea pamoja katika kutekeleza mikakati ya sekta ya afya katika kuwahudumia wananchi wa Tanzania kwani wamepata ujuzi wa kutoa huduma hususani za dharura .
Timu hiyo ya kutoa huduma za dharura iliwajumlisha wataalam mbalimbali kutoka wizara ya afya,hospitali ya Taifa Muhimbili,Taasisi ya Mifupa(MOI), Taasisi ya Moyo(JKCI) pamoja na wataalam wengine kutoka hospitali za Manispaa za Ubungo,Ilala,Kigamboni,Kinondoni naTemeke
from MICHUZI BLOG https://ift.tt/2TLZB5Y
via
Recommended Products
-
2025 Summer Rapper Feid Ferxxo Men’s Cotton Fashion Hip-hop T-shirt Casual and Comfortable Short-sleeved T-shirt Street Wear
Affliate products $22.00 -
3 IN 1 Magnetic Folding Wireless Charger Station For IPhone Transparent Fast Charging For IWatch And Airpods
Affliate products -
Grandpa Of Love hoodies Human French Letters Dad Papa Papy Gift Men Clothing hoodies
Affliate products $22.00 -
Sale!
Lenovo D18 Drone 8K Aerial HD Dual-Camera Intelligent Obstacle Avoidance Brushless Power 5G WIFI Screen Remote Control GPS Drone
Affliate products Original price was: $7.99.$7.89Current price is: $7.89. -
Mini Portable Face Cordless Shavers Rechargeable USB Electric Shaver Wet & Dry Painless Small Size Machine Shaving For Men
Affliate products $44.00 -
New Original T75 Bone Conduction Wireless Bluetooth 5.3 Headphones Sports Earphones HiFi Sound Quality Waterproof TWS Headset
Affliate products $3.33








