Naibu Waziri Wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Mikumi kupitia CCM Mhe.DENNIS LONDO(MB) ameomba nafasi hiyo kwa mara nyingine ya Ubunge Jimbo La ๐๐๐๐๐๐ huku akielezea sababu kubwa ya yeye kuomba tena nafasi hiyo ni ili kuhakikisha ndoto za wana Mikumi zinatimizwa kupitia yeye kwani zaidi ya 90% yaliyopo kwenye Ilani ya CCm ambayo ndiyo waiyomtuma tangu 2020 alipochanguliwa mara ya kwanza hadi 2025 serikali ya awamu ya 6 inayoongozwa na Mhe.Rais Samia imetimiza.
Londo ambaye ni msomi na mbobezi katika masuala mbalimbali amesema ametiwa moyo na hatua ya wananchi wengi wa mikumi kumtaka achukue fomu hiyo kwani kwa sasa wana mini yeye ndiye mtu sahihi kwani kwa muda wa miaka mitano kazi kubwa ya kuwaletea maendeleo jimboni kwao
Masama Blog Inamtakia kฤฑla la heri Ndg.Dennis Londo katika hatua za swai kuelekea uchaguzi mkuu 2025.
Recommended Products
-
2025 Summer Rapper Feid Ferxxo Men’s Cotton Fashion Hip-hop T-shirt Casual and Comfortable Short-sleeved T-shirt Street Wear
Affliate products $22.00 -
3 IN 1 Magnetic Folding Wireless Charger Station For IPhone Transparent Fast Charging For IWatch And Airpods
Affliate products -
Grandpa Of Love hoodies Human French Letters Dad Papa Papy Gift Men Clothing hoodies
Affliate products $22.00 -
Sale!
Lenovo D18 Drone 8K Aerial HD Dual-Camera Intelligent Obstacle Avoidance Brushless Power 5G WIFI Screen Remote Control GPS Drone
Affliate products Original price was: $7.99.$7.89Current price is: $7.89. -
Mini Portable Face Cordless Shavers Rechargeable USB Electric Shaver Wet & Dry Painless Small Size Machine Shaving For Men
Affliate products $44.00 -
New Original T75 Bone Conduction Wireless Bluetooth 5.3 Headphones Sports Earphones HiFi Sound Quality Waterproof TWS Headset
Affliate products $3.33






