Zoezi hilo litaendeshwa kwa siku tatu na maafisa wa NIDA ambao wamepiga kambi mjini humo
“Nachukua nafasi hii kuwahamasisha wana Lamadi wote ambao wanataka namba ya utambulisho wa Uraia (NIDA), Wafike katika ofisi ya Mtendaji wa Kata kwa wingi na watapata huduma hiyo kwa siku tatu” alisema DC Tano Mwera.
Aidha, Mkuu wa Wilaya huyo amesema kuwa baada ya zoezi hilo la muda wa siku tatu kumalizika katika mji huo wa Lamadi na maeneo jirani ikiwemo Mkula, Wananchi wataifuata huduma hiyo Nyashimo, Wilayani.
“Tunamshukuru Mhe Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli kwa kuongeza muda wa zoezi la Usajili wa namba kwa alama za vidole.
Wafanyakazi wa NIDA hapa Busega wanafanya kazi usiku na mchana kuhakikisha kila mtu anapata namba yake. Tujitokeze kwa wingi kupata namba hizo” alisema DC Tano Mwera.
Zoezi hilo la NIDA linaendeshwa Nchi nzima ambapo kwa Wilaya ya Busega linaendelea vizuri.
from MICHUZI BLOG https://ift.tt/2RbPXbG
via
Recommended Products
-
2025 Summer Rapper Feid Ferxxo Men’s Cotton Fashion Hip-hop T-shirt Casual and Comfortable Short-sleeved T-shirt Street Wear
Affliate products $22.00 -
3 IN 1 Magnetic Folding Wireless Charger Station For IPhone Transparent Fast Charging For IWatch And Airpods
Affliate products -
Grandpa Of Love hoodies Human French Letters Dad Papa Papy Gift Men Clothing hoodies
Affliate products $22.00 -
Sale!
Lenovo D18 Drone 8K Aerial HD Dual-Camera Intelligent Obstacle Avoidance Brushless Power 5G WIFI Screen Remote Control GPS Drone
Affliate products Original price was: $7.99.$7.89Current price is: $7.89. -
Mini Portable Face Cordless Shavers Rechargeable USB Electric Shaver Wet & Dry Painless Small Size Machine Shaving For Men
Affliate products $44.00 -
New Original T75 Bone Conduction Wireless Bluetooth 5.3 Headphones Sports Earphones HiFi Sound Quality Waterproof TWS Headset
Affliate products $3.33







