Mkuu wa Wilaya ya Ubungo,Mhe. Albert Msando amesema atakutana na viongozi wa Kanisa la Ufufuo na Uzima ili kupata muafaka wa pamoja kutokana na kanisa hilo kufungiwa kwa takribani wiki saba sasa.
Msando amesema hayo leo Julai 20, 2025 baada ya kujiunga kufanya ibada na waumini wa Kanisa la Ufufuo na Uzima pamoja na wale wa Kanisa la ABC katika ukumbi wa Tanzanite, ambapo inafanyika semina ya neno la Mungu katika ukumbi huo.
“viongozi wote wa kanisa njooni ofisini tujue hatma ya jambo hili hatuwezi tukakaa hapa kila siku unaamka unajiuliza wananchi wangu wanasali wapi na wanasalije”
Aidha amewahakikishia waumini wa kanisa hilo kuwa watakuwa salama wala hawatakutana na kadhia ya yoyote ikiwemo kukamatwa au kupigwa huku akiahidi atakuwa mtu wa mwisho kutoka kwenye sehemu waliyokuwa wakisali waumini hao.
Pamoja na hayo amesema jambo hilo siyo jepesi lakini anaamini katika mazungumzo watapata muafaka mzuri
Recommended Products
-
2025 Summer Rapper Feid Ferxxo Men’s Cotton Fashion Hip-hop T-shirt Casual and Comfortable Short-sleeved T-shirt Street Wear
Affliate products $22.00 -
3 IN 1 Magnetic Folding Wireless Charger Station For IPhone Transparent Fast Charging For IWatch And Airpods
Affliate products -
Grandpa Of Love hoodies Human French Letters Dad Papa Papy Gift Men Clothing hoodies
Affliate products $22.00 -
Sale!
Lenovo D18 Drone 8K Aerial HD Dual-Camera Intelligent Obstacle Avoidance Brushless Power 5G WIFI Screen Remote Control GPS Drone
Affliate products Original price was: $7.99.$7.89Current price is: $7.89. -
Mini Portable Face Cordless Shavers Rechargeable USB Electric Shaver Wet & Dry Painless Small Size Machine Shaving For Men
Affliate products $44.00 -
New Original T75 Bone Conduction Wireless Bluetooth 5.3 Headphones Sports Earphones HiFi Sound Quality Waterproof TWS Headset
Affliate products $3.33






