Na Chalila Kibuda, Michuzi TV
Chuo cha Mwalimu Nyerere Memorial Academy kimesema licha ya kufundisha kozi mbalimbali pia wanafundisha maadili.
Akizungumza na waandishi wa habari Katika Maonesho ya Vyuo Vikuu yanayofanyika katika Viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam Mkuu wa Idara ya Elimu ya Juu wa Chuo hicho Dkt.Philip Daninga amesema kuwa Wanafunzi katika maonesho hayo kwani wanadahili hapo hapo .
Amesema kuwa Wanafunzi wakisoma hapo wanajengwa kimaadili na kufanya kuweza kujitambua katika maisha yao. Dkt.Daninga amesema wanakozi mbalimbali katika Chuo hicho ambapo vijana wanaweza kusoma kutokana na kuwa Mazingira rafiki ya kusoma.
Aidha amesema kuwa maonesho hayo ni fursa ya kuwafikia wanafunzi ikiwa kutoa taarifa mbalimbali za Chuo hicho. “Tumedhamiria kutoa elimu bora inayokwenda na Mazingira ikiwa ni pamoja kuwafanya vijana kuwa wabunifu”amesema Daninga.
Mwanafunzi wa Chuo cha Mwalimu Nyerere Memorial Academy Jenipher Siriwa akitoa ubunifu wake wa Umeme wa Jua katika mfumo wa kufuata Jua Katika Maonesho ya Vyuo Vikuu yanayofanyika katika Viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam.
Mwanafunzi wa Chuo cha Mwalimu Nyerere Memorial Academy Mohamed Abushiri akitoa maelezo namna alivyogundua kuzuia gesi kulipuka katika maonesho ya Vyuo Vikuu yanayofanyika katika Viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam.
Mkuu wa Idara ya Elimu ya Juu wa Chuo cha Mwalimu Nyerere Memorial Academy Philip Daninga akizungumza na waandishi habari katika Maonesho ya Vyuo Vikuu yanayofanyika katika Viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam.
from MICHUZI BLOG https://ift.tt/2NVZSUp
via
Recommended Products
-
2025 Summer Rapper Feid Ferxxo Men’s Cotton Fashion Hip-hop T-shirt Casual and Comfortable Short-sleeved T-shirt Street Wear
Affliate products $22.00 -
3 IN 1 Magnetic Folding Wireless Charger Station For IPhone Transparent Fast Charging For IWatch And Airpods
Affliate products -
Grandpa Of Love hoodies Human French Letters Dad Papa Papy Gift Men Clothing hoodies
Affliate products $22.00 -
Sale!
Lenovo D18 Drone 8K Aerial HD Dual-Camera Intelligent Obstacle Avoidance Brushless Power 5G WIFI Screen Remote Control GPS Drone
Affliate products Original price was: $7.99.$7.89Current price is: $7.89. -
Mini Portable Face Cordless Shavers Rechargeable USB Electric Shaver Wet & Dry Painless Small Size Machine Shaving For Men
Affliate products $44.00 -
New Original T75 Bone Conduction Wireless Bluetooth 5.3 Headphones Sports Earphones HiFi Sound Quality Waterproof TWS Headset
Affliate products $3.33









