Basi la Kilimanjaro lenye namba za usajili T 983 AWY limepinduka jioni ya leo mbele ya eneo la MKATA, Tanga. Basi hilo lilikuwa likitokea jijini Arusha kuelekea jijini Dar es Salaam. Kwa mujibu wa mashuhuda walioshuhudia ajali hiyo wameeleza kuwa katika ajali hiyo hakuna aliyepoteza maisha eneo la tukio zaidi ya majeruhi kadhaa,Wakielezea zaidi mbele ye Michuzi TV kuhusu chanzo cha ajali hiyo,wakabainisha kuwa chanzo ni mwendo kasi wa basi hilo.
Tutawaletea zaidi taarifa kamili kutoka Mamlaka husika.
Baadhi ya Abiria waakiangalia baadhi ya majeruhi na ukaguzi wa mizigo yao kufuatia basi hilo kupinduka maeneo ya Mkata,likiwa linatoka Mkoani Arusha kuelekea jijini Arusha.
Baadhi ya abiria walionusurika katika ajali hiyo wakitoa msaada kwa majeruhi
Baadhi ya Abiria waakiangalia baadhi ya majeruhi na ukaguzi wa mizigo yao kufuatia basi hilo kupinduka maeneo ya Mkata,likiwa linatoka Mkoani Arusha kuelekea jijini Arusha.
Basi la Kilimanjaro lenye namba za usajili T 983 AWY likiwa limepinduka mbele ya eneo la MKATA, Tanga,hakuna aliyepoteza Maisha.
from MICHUZI BLOG http://bit.ly/2V3zFBI
via
Recommended Products
-
2025 Summer Rapper Feid Ferxxo Men’s Cotton Fashion Hip-hop T-shirt Casual and Comfortable Short-sleeved T-shirt Street Wear
Affliate products $22.00 -
3 IN 1 Magnetic Folding Wireless Charger Station For IPhone Transparent Fast Charging For IWatch And Airpods
Affliate products -
Grandpa Of Love hoodies Human French Letters Dad Papa Papy Gift Men Clothing hoodies
Affliate products $22.00 -
Sale!
Lenovo D18 Drone 8K Aerial HD Dual-Camera Intelligent Obstacle Avoidance Brushless Power 5G WIFI Screen Remote Control GPS Drone
Affliate products Original price was: $7.99.$7.89Current price is: $7.89. -
Mini Portable Face Cordless Shavers Rechargeable USB Electric Shaver Wet & Dry Painless Small Size Machine Shaving For Men
Affliate products $44.00 -
New Original T75 Bone Conduction Wireless Bluetooth 5.3 Headphones Sports Earphones HiFi Sound Quality Waterproof TWS Headset
Affliate products $3.33













