Breaking News: Alshabaab Wakiri Kuhusika na Shambulizi la Leo Kenya

7 years ago100 Views


UPDATES: 
Msemaji wa kundi la kigaidi la al-Shabab ameipigia BBC simu na kudai kwamba kundi hilo limehusika “katika operesheni ambayo bado inaendelea Nairobi”.

Msemaji huyo hajatoa maelezo zaidi, lakini amesema kundi hilo litatoa maelezo zaidi punde operesheni yao ikikamilika.

Wametoa maelezo zaidi na kusema “watu wetu waliingia ndani na bado wako ndani ya majengo muhimu mtaa wa Westlands, Nairobi.” 


from UDAKU SPECIAL BLOG http://bit.ly/2subyAk
via

0 Votes: 0 Upvotes, 0 Downvotes (0 Points)

Join Us
  • Facebook38.5K
  • X Network32.1K
  • linkedin12.6k
  • youtube23.4k
  • Instagram18.9K
Mchanganyiko

Loading Next Post...
Follow
Sign In/Sign Up Search Trending 0 Cart
Popular Now
Loading

Signing-in 3 seconds...

Signing-up 3 seconds...

Cart
Cart updating

ShopYour cart is currently is empty. You could visit our shop and start shopping.