Na Emmanuel Massaka wa Michuzi Tv
Wafanyabiashara wa matunda katika Soko la Buguruni wilaya ya Ilala jijini Dar es Salaam wamesema kwa sasa matunda yanayopatikana kwa wingi ni Maembe na Mananasi,
Wakizungumza na Michuzi Tv jijini Dar es Salaam wafanyabiashara hao wameeleeza kuwa hali iko shwari kibiashara na matunda yanauzika,wateja wao wamekuwa wakipita sokoni hapo kujipatia matuda mbalimbali kuligana na mahitaji yao.
Bei ya tikitiki maji ni kati ya Sh 500 hadi Sh. 3000.(Picha na Emmanuel Massaka wa Michuzi Tv)
Bei ya machungwa katika soko la Buguruni wilaya ya Ilala jijini Dar es Salaam yanauzwa kati ya sh. 50 hadi 100 kwa bei ya jumla.
Embe katika soko la Buguruni yanauzwa kati ya Sh.300 hadi Sh 600/= lakini bei hiyo hiyo yanauzwa kwa rejareja.(Picha na Emmanuel Massaka wa Michuzi Tv)
Bei za matunda aina Parachichi ni shi 200,500 bei hiyo kwa wanaonunua kwa rejareja na jumla (Picha na Emmanuel Massaka wa Michuzi Tv)
from MICHUZI BLOG https://ift.tt/2CZjAqb
via
Recommended Products
-
2025 Summer Rapper Feid Ferxxo Men’s Cotton Fashion Hip-hop T-shirt Casual and Comfortable Short-sleeved T-shirt Street Wear
Affliate products $22.00 -
3 IN 1 Magnetic Folding Wireless Charger Station For IPhone Transparent Fast Charging For IWatch And Airpods
Affliate products -
Grandpa Of Love hoodies Human French Letters Dad Papa Papy Gift Men Clothing hoodies
Affliate products $22.00 -
Sale!
Lenovo D18 Drone 8K Aerial HD Dual-Camera Intelligent Obstacle Avoidance Brushless Power 5G WIFI Screen Remote Control GPS Drone
Affliate products Original price was: $7.99.$7.89Current price is: $7.89. -
Mini Portable Face Cordless Shavers Rechargeable USB Electric Shaver Wet & Dry Painless Small Size Machine Shaving For Men
Affliate products $44.00 -
New Original T75 Bone Conduction Wireless Bluetooth 5.3 Headphones Sports Earphones HiFi Sound Quality Waterproof TWS Headset
Affliate products $3.33












