Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipokea mfano wa hundi ya gawio la Shilingi Bilioni 10.48 kwa Serikali kutoka kwa Mjumbe wa Bodi ya Wakurungezi wa Benki ya NMB – Margaret Ikongo na Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa NMB – Ruth Zaipuna (kulia) katika hafla ya upokeaji wa gawio na michango kwa Serikali iliofanyika Ikulu Chamwino, Dodoma mapema leo. Wakishuhudia kutoka kushoto ni Waziri wa Fedha na Mipango – Dkt. Philip Mpango na Spika wa Bunge la Tanzania -Job Ndugai.
Wageni waalikwa mbalimbali wakifuatilia yaliokuwa yakijiri kwenye hafla hiyo
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzani a Dkt John Pombe Magufuli,akiwa katika picha ya pamoja mara baada ya kupokea gawio na michango kutoka katika Taasisi, Makampuni na Mashirika ya Umma hafla,hiyo imefanyika Ikulu ya Chamwino jijini Dodoma leo.
from MICHUZI BLOG https://ift.tt/2XLXkcL
via
Recommended Products
-
2025 Summer Rapper Feid Ferxxo Men’s Cotton Fashion Hip-hop T-shirt Casual and Comfortable Short-sleeved T-shirt Street Wear
Affliate products $22.00 -
3 IN 1 Magnetic Folding Wireless Charger Station For IPhone Transparent Fast Charging For IWatch And Airpods
Affliate products -
Grandpa Of Love hoodies Human French Letters Dad Papa Papy Gift Men Clothing hoodies
Affliate products $22.00 -
Sale!
Lenovo D18 Drone 8K Aerial HD Dual-Camera Intelligent Obstacle Avoidance Brushless Power 5G WIFI Screen Remote Control GPS Drone
Affliate products Original price was: $7.99.$7.89Current price is: $7.89. -
Mini Portable Face Cordless Shavers Rechargeable USB Electric Shaver Wet & Dry Painless Small Size Machine Shaving For Men
Affliate products $44.00 -
New Original T75 Bone Conduction Wireless Bluetooth 5.3 Headphones Sports Earphones HiFi Sound Quality Waterproof TWS Headset
Affliate products $3.33









