Makamu wa Pili wa Rais Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akihutubia wakati wa kufunga Mkutano wa Mawaziri wa SADC wa Sekta ya TEHAMA, Habari, Uchukuzi na Hali ya Hewa waliokutana kwa siku kuanzia Septemba 19-20, 2019 jijini Dar es Salaam. Picha zote na Matokeo Chanya+.
Meza kuu.
Meza kuu.Mawaziri wa SADC wa Sekta ya TEHAMA, Habari, Uchukuzi na Hali ya Hewa waliokutana kwa siku kuanzia Septemba 19-20, 2019 jijini Dar es Salaam.

Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhandisi Isack Kamwelwe akizungumza wakati wa kufunga Mkutano wa Mawaziri wa SADC wa Sekta ya TEHAMA, Habari, Uchukuzi na Hali ya Hewa waliokutana kwa siku kuanzia Septemba 19-20, 2019 jijini Dar es Salaam.
Waziri wa Habari,Utamaduni, Sanaa na Mchezo Dkt. Harrison Mwakyembe akimkaribisha mgeni rasmi kufunga Mkutano wa Mawaziri wa SADC wa Sekta ya TEHAMA, Habari, Uchukuzi na Hali ya Hewa waliokutana kwa siku kuanzia Septemba 19-20, 2019 jijini Dar es Salaam.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi Sekta ya Uchukuzi Bw. Leonard Chamriho akizungumza wakati wa kufunga Mkutano wa Mawaziri wa SADC wa Sekta ya TEHAMA, Habari, Uchukuzi na Hali ya Hewa waliokutana kwa siku kuanzia Septemba 19-20, 2019 jijini Dar es Salaam. 

Mawaziri wa SADC wa Sekta ya TEHAMA, Habari, Uchukuzi na Hali ya Hewa waliokutana kwa siku kuanzia Septemba 19-20, 2019 jijini Dar es Salaam.
Brass Bendi wakiongoza shughuli.
Mawaziri wakiwa katika picha ya pamoja.
Kamati ya maandizi.
Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi Na Mawasiliano Dkt Jim Yonazi (wa pili toka kulia, mstari wa mbele) pamoja na viongozi wengine wakiwa na watoa huduma walioshughulika na mkutano huo.
from MICHUZI BLOG https://ift.tt/2V95jzo
via
Recommended Products
-
2025 Summer Rapper Feid Ferxxo Men’s Cotton Fashion Hip-hop T-shirt Casual and Comfortable Short-sleeved T-shirt Street Wear
Affliate products $22.00 -
3 IN 1 Magnetic Folding Wireless Charger Station For IPhone Transparent Fast Charging For IWatch And Airpods
Affliate products -
Grandpa Of Love hoodies Human French Letters Dad Papa Papy Gift Men Clothing hoodies
Affliate products $22.00 -
Sale!
Lenovo D18 Drone 8K Aerial HD Dual-Camera Intelligent Obstacle Avoidance Brushless Power 5G WIFI Screen Remote Control GPS Drone
Affliate products Original price was: $7.99.$7.89Current price is: $7.89. -
Mini Portable Face Cordless Shavers Rechargeable USB Electric Shaver Wet & Dry Painless Small Size Machine Shaving For Men
Affliate products $44.00 -
New Original T75 Bone Conduction Wireless Bluetooth 5.3 Headphones Sports Earphones HiFi Sound Quality Waterproof TWS Headset
Affliate products $3.33