WASAMBAZAJI wa pikipiki za miguu mitatu maarufu kama bajaj wa mikoa yote hapa nchini wamejumuika na kampuni ya Sunbeam jijini Dar es Salaam leo kuzindua bajaj mpya aina ya Maxima Z 3 ya ikiwa ni katika mwendelezo wa uboreshaji soko la bajaj sasa.
Akizungumza wakati wa uzinduzi huo Meneja wa Mauzo wa kampuni ya Sunbeam, Jestas Kyolike amesema kuwa ameweza kuwaita wasambazaji wa mikoani ili kuja kushiriki pamoja uzinduzi wa bajaj mpya ili waweze kusambaza mikoa mingine.
“Bajaj iliyozinduliwa leo ni bajaj ya kisasa kabisa haijawahi kuwepo hapa Tanzania ni bajaj ambayo ina ingine kubwa na inanafasi kubwa inaweza inaweza ikapita kwenye aina za barabara zetu za Tanzania”
Amesema Kyolike.
Hata hivyo baadhi ya wasambazaji wa bajaj katika Mikoa ya Tanzania wamesema kuwa babaj inaweza kumwinua Mjasiliamali kiuchumi hasa akinunua kwaajili ya biashara ya kubeba abiria katika maeneo yake ya biashara bila kuwa na kikwazo cha jua ama mvua.
Bajaj aina ya Maxima Z 3 baada ya kuzinduliwa jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya wasambazaji wa bajaj katika mikoa tofauti hapa nchini wakishuhudia uzinduzi wa babaj aina ya Maxima Z 3 jijini Dar es Salaam.
Meneja wa Mauzo wa kampuni ya Sunbeam, Jestas Kyolike akizungumza na wafanyabiashara wa bajaj wa mikoa ya Tanzania jijini Dar es Salaam leo.
Baadhi ya wasambazaji wa bajaj.
Meneja Mkuu wa Kitengo cha Ufundi wa Kampuni ya Sunbeam, akizungumza ni namna gani wanafanya matengenezo ya bajaj zikiharibika pamoja na kukabiliana na changamoto ya kupatikanaji wa vifaa baada ya bajaj kuharibika.
from MICHUZI BLOG https://ift.tt/32nXjNR
via
Recommended Products
-
2025 Summer Rapper Feid Ferxxo Men’s Cotton Fashion Hip-hop T-shirt Casual and Comfortable Short-sleeved T-shirt Street Wear
Affliate products $22.00 -
3 IN 1 Magnetic Folding Wireless Charger Station For IPhone Transparent Fast Charging For IWatch And Airpods
Affliate products -
Grandpa Of Love hoodies Human French Letters Dad Papa Papy Gift Men Clothing hoodies
Affliate products $22.00 -
Sale!
Lenovo D18 Drone 8K Aerial HD Dual-Camera Intelligent Obstacle Avoidance Brushless Power 5G WIFI Screen Remote Control GPS Drone
Affliate products Original price was: $7.99.$7.89Current price is: $7.89. -
Mini Portable Face Cordless Shavers Rechargeable USB Electric Shaver Wet & Dry Painless Small Size Machine Shaving For Men
Affliate products $44.00 -
New Original T75 Bone Conduction Wireless Bluetooth 5.3 Headphones Sports Earphones HiFi Sound Quality Waterproof TWS Headset
Affliate products $3.33

















