Baada Ya Kudai Kuwa Kwenye Mahusiano na Godzilla, Bella Adaiwa Kuvishwa Pete na Mwanaume Mwingine

7 years ago87 Views

Baada Ya Kudai Kuwa Kwenye Mahusiano na Godzilla, Bella Adaiwa Kuvishwa Pete na Mwanaume Mwingine

Baada Ya Kudai Kuwa Kwenye Mahusiano na Godzilla, Bella Adaiwa Kuvishwa Pete na Mwanaume Mwingine

Msanii wa Bongo movie Isabella Mpanda alitengeneza headlines wiki iliyopita Baada ya kudai kuwa kwenye mahusiano na Aliyekuwa Msanii wa Bongo fleva Marehemu Godzilla.

Mbele ya Media mbali mbali Bella alilia machozi na kusema kuwa Mpaka kipindi Godzilla anafariki dunia yeye Ndiye alikuwa kwenye mahusiano ya kimapenzi na msanii huyo.

Gazeti la Risasi Jumamosi,  lilizungumza na rafiki wa karibu na Bella ambaye alionesha kushtushwa na kitendo cha Bella kujitambulisha kwamba alikuwa na uhusiano na marehemu wakati miezi michache iliyopita alichumbiwa na mwanaume mwingine aitwaye John aliyejaliwa kuzaa naye mtoto mmoja.

Kwenye mahojiano na Gazeti hilo Bella alidai kuwa alishaachana na mwanaume aliyemchumbia takriban miezi mitano iliyopita na baada ya kuachana naye, aliamua kurejea kwa Godzilla ambaye aliwahi kuwa mpenzi wake kabla ya kuchumbiwa.

Niliachana na baba mtoto wangu nikaamua kurudi kwa mpenzi wangu wa siku nyingi ambaye ni Godzilla hivyo ndivyo ninavyoweza kusema kwa sasa, naomba uniache maana nipo kwenye majonzi”.

from UDAKU SPECIAL BLOG https://ift.tt/2GyfLvZ
via

0 Votes: 0 Upvotes, 0 Downvotes (0 Points)

Previous Post

Next Post

Join Us
  • Facebook38.5K
  • X Network32.1K
  • linkedin12.6k
  • youtube23.4k
  • Instagram18.9K
Mchanganyiko

Loading Next Post...
Follow
Sign In/Sign Up Search Trending 0 Cart
Popular Now
Loading

Signing-in 3 seconds...

Signing-up 3 seconds...

Cart
Cart updating

ShopYour cart is currently is empty. You could visit our shop and start shopping.