ATEBA Atemwa na Simba Akiwa Pre-Season, Awaaga Wenzake

Masama BlogMICHEZOKITAIFA5 months ago203 Views

Usiku huu Ateba ameaga na kuondoka kwenya kambi ya Simba pale Misri, It’s Over kati ya Simba na Ateba

Naby Camara amechukua nafasi ya Ateba kwenye orodha ya wachezaji wa kigeni, Ikumbukwe dirisha la usajili la kimataifa linafungwa leo saa 6 usiku

Taarifa za kiutondoti yakinifu zinaeleza kuwa mshambuliaji Lionel Ateba tayari ametemwa kwenye kikosi cha Simba kuelekea msimu ujao.

Tayari wachezaji wenzake na baadhi ya viongozi waliosafiri Cairo wameshamuaga.

Inaelezwa Mnyama Simba bado yupo kwenye mawindo ya kuongeza mshambuliaji mwingine hatari.

Hata maisha ya Mutale bado sio mazuri kwenye kikosi cha simba sc amekalia kuti kavu.

INGIA HAPA UJIFUNZE ZAIDI JINSI YA KUTUMIA AI TUMIA ===>> Masama Blog AI

0 Votes: 0 Upvotes, 0 Downvotes (0 Points)

Join Us
  • Facebook38.5K
  • X Network32.1K
  • linkedin12.6k
  • youtube23.4k
  • Instagram18.9K
Mchanganyiko
Loading Next Post...
Follow
Sign In/Sign Up Search Trending 0 Cart
Popular Now
Loading

Signing-in 3 seconds...

Signing-up 3 seconds...

Cart
Cart updating

ShopYour cart is currently is empty. You could visit our shop and start shopping.