Staa Davido
kutoka Nigeria ambaye amekaa kimya kwenye swala la mahausiano ambapo
kama ujaavyo mastaa wengi hutupia picha za wapenzi wao kwenye mitandao
ya kijamii kama ilivyo Zari na Diamond Platnumz hapa bongo lakin Davido
kupitia mtandao wa Instagram ameshare picha yake akiwa na mrembo kutoka
South Africa ambaye ndie mpenzi anajulikana kwa jina la Faith
Nketsi wake anayejishulisha na Modeling huko nchini Afrika Kusini cheki
picha zake hapo chini


Kweli hapa Davido umepata kitu ndani ya box lake kwa shepu hii ni balaa.