New York, Marekani
INAONEKANA mwanamitindo nyota wa Marekani, Amber Rose (31), ameachana moja kwa moja na mumewe, Wiz Khalifa, kwani inasemekana mrembo huyo ameanza uhusiano wa kimapenzi na mchezaji wa timu ya New York Giants, Odell Beckham Jr.…

New York, Marekani
INAONEKANA mwanamitindo nyota wa Marekani, Amber Rose (31), ameachana moja kwa moja na mumewe, Wiz Khalifa, kwani inasemekana mrembo huyo ameanza uhusiano wa kimapenzi na mchezaji wa timu ya New York Giants, Odell Beckham Jr. (22).
Vyanzo mbalimbali vinasema, mwanariadha huyo amekuwa akimfuatilia mrembo huyo kwa miezi kadhaa kabla ya kumpata kupitia rafiki yake na hatimaye kutoka naye katika matukio kadhaa, ikiwa ni pamoja na kuonekana ‘wakila bata’ kwenye mgahawa wa TAO jijini New York mwezi uliopita.
Pia habari zimesema Odell alimshangaza Amber kwa kumpa kitita cha maua ambayo ni alama ya upendo. Hii ni mbali na kuonyesha upendo wake kwa Amber katika mtandao wa Twitter alipoandika maneno kuhusu penzi la hilo.
Amber alianza kutoka na rapa, Wiz, mapema mwaka 2011 kabla hawajachumbiana mnamo Machi 2012 na baadaye kufunga ndoa mwaka uliofuata na kumpata mtoto wa kiume aitwaye Sebastian Taylor, Februari
21, 2013.
Septemba 2014 Amber alifungua kesi kuomba talaka dhidi ya rapa huyo akidai ni kutokana na mambo ambayo hayawezi kusuluhishwa.
Recommended Products
-
2025 Summer Rapper Feid Ferxxo Men’s Cotton Fashion Hip-hop T-shirt Casual and Comfortable Short-sleeved T-shirt Street Wear
Affliate products $22.00 -
3 IN 1 Magnetic Folding Wireless Charger Station For IPhone Transparent Fast Charging For IWatch And Airpods
Affliate products -
Grandpa Of Love hoodies Human French Letters Dad Papa Papy Gift Men Clothing hoodies
Affliate products $22.00 -
Sale!
Lenovo D18 Drone 8K Aerial HD Dual-Camera Intelligent Obstacle Avoidance Brushless Power 5G WIFI Screen Remote Control GPS Drone
Affliate products Original price was: $7.99.$7.89Current price is: $7.89. -
Mini Portable Face Cordless Shavers Rechargeable USB Electric Shaver Wet & Dry Painless Small Size Machine Shaving For Men
Affliate products $44.00 -
New Original T75 Bone Conduction Wireless Bluetooth 5.3 Headphones Sports Earphones HiFi Sound Quality Waterproof TWS Headset
Affliate products $3.33






