Meneja Uhusiano na Ustawi wa Jamii wa Taasisi ya Mifupa na Mishipa ya Fahamu Muhimbili (MOI), Jumaa Almasi amesema kwa siku wanapokea wagonjwa 40 wengi wao wakiwa majeruhi wa ajali za bodaboda.
Kauli hiyo imekuja siku moja baada ya Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu kuitaka taasisi hiyo kurejesha kambi za upasuaji ili kupunguza idadi ya wanaosubiri upasuaji.“Awali walikuwa 20 kwa siku, lakini kwa sasa ni 40 na asilimia 80 ya wagonjwa hao wanahitaji upasiaji wa dharura na kiutaratibu, mwenye dharura anahudumiwa mapema ili kuokoa maisha,” amesema huku akisisitiza kuwa taarifa zilizoripotiwa kuhusu msongamano huo na kubana matumizi siyo za kweli.
Lakini wakati Almasi akisema hayo, juzi, Waziri Ummy alifanya ziara ya kushtukiza MOI na kuagiza kambi za upasuaji zilizokuwa zikifanyika mwishoni mwa wiki zirudi mara moja ili kupunguza idadi ya wagonjwa wanaosubiri upasuaji.
Recommended Products
-
2025 Summer Rapper Feid Ferxxo Men’s Cotton Fashion Hip-hop T-shirt Casual and Comfortable Short-sleeved T-shirt Street Wear
Affliate products $22.00 -
3 IN 1 Magnetic Folding Wireless Charger Station For IPhone Transparent Fast Charging For IWatch And Airpods
Affliate products -
Grandpa Of Love hoodies Human French Letters Dad Papa Papy Gift Men Clothing hoodies
Affliate products $22.00 -
Sale!
Lenovo D18 Drone 8K Aerial HD Dual-Camera Intelligent Obstacle Avoidance Brushless Power 5G WIFI Screen Remote Control GPS Drone
Affliate products Original price was: $7.99.$7.89Current price is: $7.89. -
Mini Portable Face Cordless Shavers Rechargeable USB Electric Shaver Wet & Dry Painless Small Size Machine Shaving For Men
Affliate products $44.00 -
New Original T75 Bone Conduction Wireless Bluetooth 5.3 Headphones Sports Earphones HiFi Sound Quality Waterproof TWS Headset
Affliate products $3.33






