Ahmed Ally Awatuliza Mashabiki Simba Baada ya Kufungwa na Yanga

1 year ago123 Views

 Ahmed Ally Awatuliza Mashabiki Simba Baada ya Kufungwa na Yanga

Meneja wa Habari na Mawasiliano wa klabu ya Simba, Ahmed Ally amesema matokeo mabaya ya Ngao ya Jamii si sababu ya kuvunjika moyo, bali ni fursa ya kujenga kikosi bora kwa msimu huu.

Ameeleza kuwa klabu inajivunia maendeleo ya mpango wa muda mrefu unaojumuisha wachezaji wapya wenye vipaji.

Amewataka mashabiki wasiwe na hofu, akisisitiza kuwa timu ipo katika njia sahihi na itafanikisha malengo yake msimu huu.

Join Us
  • Facebook38.5K
  • X Network32.1K
  • linkedin12.6k
  • youtube23.4k
  • Instagram18.9K
Mchanganyiko

Loading Next Post...
Follow
Sign In/Sign Up Search Trending 0 Cart
Popular Now
Loading

Signing-in 3 seconds...

Signing-up 3 seconds...

Cart
Cart updating

ShopYour cart is currently is empty. You could visit our shop and start shopping.