RUSHWA NI ADUI WA HAKI,KATAA KIONGOZI ANAECHAGULIWA KWA RUSHWA
RUSHWA NI ADUI WA HAKI,KATAA KIONGOZI ANAECHAGULIWA KWA RUSHWA
6 years ago104 Views
Share
Uchaguzi wa serikalizamitaa unaelekea ukingoni, Wananchi mtakutana na viashiria mbalimbali vya rushwa, mkatae kiongozi anaechaguliwa kwa rushwa, chagua kiongozi asiyependa rushwa, Kanyaga rushwa chagua maendeleo, hata kipindi cha uchaguzi wa serikali za mitaa kataa rushwa tenda haki.