Sote tunafahamu uwezo na ubora wa Aziz Ki ila changamoto ni nidhamu ya kimbinu (tactical discpline) baada ya kufunga bao tulipoteza Kiungo chetu kwakuwa alikuwa hashuki kusaidia (track back) na sio yeye tu hata Mawinga hivyo ililazimu kuwatoa kurekebisha.Kocha wa Yanga Nasreddine Nabi akizungumzia kiwango cha Aziz Ki ambaye alionekana hakuwa bora uwanjani na kuamua kumtoa mapema kipindi cha pili na nafasi yake ikachukuliwa na Khalid Aucho.
Nabi pia amezungumzia hali ya ubinafsi iliyooneshwa Mayele kuna nyakati alishindwa kutoa pasi kwa wachezaji ambao wapo kwenye nafasi nzuri zaidi ya kufunga kuliko yeye.
– Prof Nabi, juu ya sub ya Aziz Ki.
Recommended Products
-
2025 Summer Rapper Feid Ferxxo Men’s Cotton Fashion Hip-hop T-shirt Casual and Comfortable Short-sleeved T-shirt Street Wear
Affliate products $22.00 -
3 IN 1 Magnetic Folding Wireless Charger Station For IPhone Transparent Fast Charging For IWatch And Airpods
Affliate products -
Grandpa Of Love hoodies Human French Letters Dad Papa Papy Gift Men Clothing hoodies
Affliate products $22.00 -
Sale!
Lenovo D18 Drone 8K Aerial HD Dual-Camera Intelligent Obstacle Avoidance Brushless Power 5G WIFI Screen Remote Control GPS Drone
Affliate products Original price was: $7.99.$7.89Current price is: $7.89. -
Mini Portable Face Cordless Shavers Rechargeable USB Electric Shaver Wet & Dry Painless Small Size Machine Shaving For Men
Affliate products $44.00 -
New Original T75 Bone Conduction Wireless Bluetooth 5.3 Headphones Sports Earphones HiFi Sound Quality Waterproof TWS Headset
Affliate products $3.33






