Diamond Platnumz Amfanyia Jambo Hili kubwa Zari Hadharani,Mashabiki wafunguka

2 years ago122 Views

 

Usiku wa jana msanii @diamondplatinumz alitumbuiza jijini Kampala, Uganda.

Miongoni Mwa Matukio yaliyofurahisha Wengi ni Pale ambapo Diamond Platnumz alimba Wimbo wa Mwanamuziki kutoka Uganda, @azizazion ´Nkumira Omukwano’ kisha akaeleza kwamba Wimbo huo Ameimba kwa ajili ya Mama wa Watoto wake Zari, ‘Nkumira Omukwano’ ni Wimbo ambao Unasisitisa kwamba mtu ana mapenzi ya kweli, ingawa ameona wengi lakini bado anampenda Mtu mmoja tu.

Watu wengi wamemsifu Diamond Platnumz baada ya Kuimba Wimbo huo kwani wanaamini kwa namna moja au nyingine utaboresha uhusiano wake na Zari pia kudumisha uhusiano wa Tanzania na

Join Us
  • Facebook38.5K
  • X Network32.1K
  • linkedin12.6k
  • youtube23.4k
  • Instagram18.9K
Mchanganyiko

Loading Next Post...
Follow
Sign In/Sign Up Search Trending 0 Cart
Popular Now
Loading

Signing-in 3 seconds...

Signing-up 3 seconds...

Cart
Cart updating

ShopYour cart is currently is empty. You could visit our shop and start shopping.