Ahmed Ally afunguka mazito kuhusu Jezi za Simba
“Tumeziona jezi ambazo zimevujishwa usiku wa Jana zikisemekana ndo jezi zetu za msimu huu, sijajua lengo kubwa la waliovujisha ni nini!?, Huenda ni kutaka KUHARIBU Biashara ya Jayrutty.
“Yote ya yote, binafsi Nimezipenda sana zile jezi, kutokana na upekee ulizokuwa nazo kulinganisha na jezi za misimu ya awali, ambazo kuna muda tunazindua jezi tukawa tunajiuliza “Hii sinkama ya Msimu flani”.
Maua yaliyopo kwenye Ile Jersey ni ya KIPEKEE sana na nimeyapenda mnoooooo.!
“Shida inakuja, mtu aloyovujisha ana roho ngumu sana, ameà mua kutumia sijui simu ya wapi, picha ni za hivyo sana..mbaya zaidi akaona atandike kwenye Baraza na kuelekea Bafuni, ule sio uungwana hata kidogo, Sijaenda”
ALSO READ |Â Jezi Mpya za Simba Zilizovuja Mtandaoni Zazua Gumzo
Recommended Products
-
2025 Summer Rapper Feid Ferxxo Men’s Cotton Fashion Hip-hop T-shirt Casual and Comfortable Short-sleeved T-shirt Street Wear
Affliate products $22.00 -
3 IN 1 Magnetic Folding Wireless Charger Station For IPhone Transparent Fast Charging For IWatch And Airpods
Affliate products -
Grandpa Of Love hoodies Human French Letters Dad Papa Papy Gift Men Clothing hoodies
Affliate products $22.00 -
Sale!
Lenovo D18 Drone 8K Aerial HD Dual-Camera Intelligent Obstacle Avoidance Brushless Power 5G WIFI Screen Remote Control GPS Drone
Affliate products Original price was: $7.99.$7.89Current price is: $7.89. -
Mini Portable Face Cordless Shavers Rechargeable USB Electric Shaver Wet & Dry Painless Small Size Machine Shaving For Men
Affliate products $44.00 -
New Original T75 Bone Conduction Wireless Bluetooth 5.3 Headphones Sports Earphones HiFi Sound Quality Waterproof TWS Headset
Affliate products $3.33






