Mhe. Dr. Philip Isidory Mpango- Makamu wa Rais wa (JMT.) akimkabidhi CPA Mussa M. Makame – MD TPDC, TUZO ya kutambua mchango wa TPDC katika kuhifadhi na kutunza mazingira kupitia matumizi ya gesi asilia iliyoshindiliwa (CNG) ambapo tuzo hiyo ya TPDC ilikabidhiwa mwezi uliopita jijini Dar es Salaam.
Dk.Mpango aikabidhi TPDC Tuzo ya kutambua mchango wao katika kuhifadhi na kutunza mazingira
Latest News
Subscribe for latest Tanzania news & updates.
© 2026 Masama Blog. Designed by Iqbal Tasif.
