
Mhe. Dr. Philip Isidory Mpango- Makamu wa Rais wa (JMT.) akimkabidhi CPA Mussa M. Makame – MD TPDC, TUZO ya kutambua mchango wa TPDC katika kuhifadhi na kutunza mazingira kupitia matumizi ya gesi asilia iliyoshindiliwa (CNG) ambapo tuzo hiyo ya TPDC ilikabidhiwa mwezi uliopita jijini Dar es Salaam.






