
Mwanaume mmoja Ndomo Mwandu Mkoani Katavi amemkata mkewe Agnes Sikazwe masikio kutokana na wivu wa kimapenzi.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Katavi Dhahiri Kidavashari alisema tukio hilo lilitokea Novemba 8 mwaka huu majira ya saa sita usiku nyumbani kwa wanandoa hao.
“Kabla
ya ugomvi wanandoa hao walikua na ugomvi wa amara kwa mara uliokuwa
umedumu kwa muda mrefu na chanzo cha ugomvi huo ni kwamba mwanaume
alikuwa akimtuhumu mkewe kuwa na mahusiano na mwanaume mwingine kijijini
hapo.
ya ugomvi wanandoa hao walikua na ugomvi wa amara kwa mara uliokuwa
umedumu kwa muda mrefu na chanzo cha ugomvi huo ni kwamba mwanaume
alikuwa akimtuhumu mkewe kuwa na mahusiano na mwanaume mwingine kijijini
hapo.
Siku ya tukio wanandoa hao walikuwa wamelala lakini baadaye mwanaume alimvizia mkewe akiwa usingizini na kumkata masikio huku akilalamika bado anaendelea na mahusiano na mwanaume mwingine.
Baada ya tukio hilo mwanamke huyo alipiga kelele kuomba msaada kwa majirani.
Recommended Products
-
2025 Summer Rapper Feid Ferxxo Men’s Cotton Fashion Hip-hop T-shirt Casual and Comfortable Short-sleeved T-shirt Street Wear
Affliate products $22.00 -
3 IN 1 Magnetic Folding Wireless Charger Station For IPhone Transparent Fast Charging For IWatch And Airpods
Affliate products -
Grandpa Of Love hoodies Human French Letters Dad Papa Papy Gift Men Clothing hoodies
Affliate products $22.00 -
Sale!
Lenovo D18 Drone 8K Aerial HD Dual-Camera Intelligent Obstacle Avoidance Brushless Power 5G WIFI Screen Remote Control GPS Drone
Affliate products Original price was: $7.99.$7.89Current price is: $7.89. -
Mini Portable Face Cordless Shavers Rechargeable USB Electric Shaver Wet & Dry Painless Small Size Machine Shaving For Men
Affliate products $44.00 -
New Original T75 Bone Conduction Wireless Bluetooth 5.3 Headphones Sports Earphones HiFi Sound Quality Waterproof TWS Headset
Affliate products $3.33






