Cristiano Ronaldo ameendelea
kuudhihirishia ulimwengu kwamba mbali ya kuwa bora kwenye soka, bado
ana rekodi nyingine kubwa ambazo zinafanya jina lake kuwa kwenye rekodi
mbalimbali ambazo zitadumu milele duniani.
kuudhihirishia ulimwengu kwamba mbali ya kuwa bora kwenye soka, bado
ana rekodi nyingine kubwa ambazo zinafanya jina lake kuwa kwenye rekodi
mbalimbali ambazo zitadumu milele duniani.
Takwimu za mtandao wa goal.com.
zinaonyesha
staa huyo kuwa NUMBER 1 kwenye orodha ya mastaa wa soka wanaoongoza kwa
kuingiza pesa nyingi zaidi duniani na kuwa na utajiri mkubwa.
staa huyo kuwa NUMBER 1 kwenye orodha ya mastaa wa soka wanaoongoza kwa
kuingiza pesa nyingi zaidi duniani na kuwa na utajiri mkubwa.
Takwimu za mtandao huo zinaonyesha Ronaldo ana utajiri wa paundi milioni 210 akimuacha nyuma mpinzani wake anayeshikilia nafasi ya pili Lionel Messi mwenye utajiri wa paundi 200.
Utajiri wa Ronaldo haupatikani kwa soka lake uwanjani pekeyake, ana madili mengine mengi ikiwemo kuwa balozi wa kampuni mbalimbali kama Toyota, Nike na Herbalife ambazo zimeweka pesa kwa staa huyu ili awe Balozi wao rasmi kutangaza bidhaa zao.
Hii ndio list yote.
1. Cristiano Ronaldo
Mchezaji wa Real
Madrid: Huyu ndiye mchezaji bora wa dunia na ameendelea kushikilia
rekodi yake ya nafasi ya kwanza, ana utajiri wa Euro milioni 210
Madrid: Huyu ndiye mchezaji bora wa dunia na ameendelea kushikilia
rekodi yake ya nafasi ya kwanza, ana utajiri wa Euro milioni 210
2. Lionel Messi
3. Neymar Da Silva Santos Jr
4. Zlatan Ibrahimovic
5. Wayne Rooney
6. Ricardo Kaka
7. Samuel Eto’o
8. Raul Gonzalez
9. Ronaldinho (Gaucho)
10. Frank Lampard
Ni kiungo wa Manchester City: Ana utajiri wa Euro milioni 80
Recommended Products
-
2025 Summer Rapper Feid Ferxxo Men’s Cotton Fashion Hip-hop T-shirt Casual and Comfortable Short-sleeved T-shirt Street Wear
Affliate products $22.00 -
3 IN 1 Magnetic Folding Wireless Charger Station For IPhone Transparent Fast Charging For IWatch And Airpods
Affliate products -
Grandpa Of Love hoodies Human French Letters Dad Papa Papy Gift Men Clothing hoodies
Affliate products $22.00 -
Sale!
Lenovo D18 Drone 8K Aerial HD Dual-Camera Intelligent Obstacle Avoidance Brushless Power 5G WIFI Screen Remote Control GPS Drone
Affliate products Original price was: $7.99.$7.89Current price is: $7.89. -
Mini Portable Face Cordless Shavers Rechargeable USB Electric Shaver Wet & Dry Painless Small Size Machine Shaving For Men
Affliate products $44.00 -
New Original T75 Bone Conduction Wireless Bluetooth 5.3 Headphones Sports Earphones HiFi Sound Quality Waterproof TWS Headset
Affliate products $3.33














