JOKATE AFUNGUKA UPYA ‘HASHIM THABIT MTAMU KULIKO WANAUME WOTE BONGO …DIAMOND NDIO HAMNA KITU KABISA’

Admin Updates10 years ago6 Views



Miss Tanzania Namba 2 Mwaka 2006, Jokate Mwegelo maarufu kama Kidoti
amesema kuwa katika mahusiano yake ya kimapenzi alitokea sana kumzimikia
Hasheem Thabit kuliko Wanaume wote aliowahi kutoka nao kimapenzi Bongo
..Akizungumza na Gazeti la Kiu , Kidoti amesema kwa sababu ambazo
amezihifadhi moyoni mwake Hasheem alikuwa na vitu Adimu sana ambavyo
hawezi kuvitaja…..Kuhusu Diamond Ambae pia amewahi kutoka nae Kidoti
amesema hakuenjoy nae kwani yalikuwa mapenzi ya muda mchache sana.

0 Votes: 0 Upvotes, 0 Downvotes (0 Points)

Previous Post

Next Post

Join Us
  • Facebook38.5K
  • X Network32.1K
  • linkedin12.6k
  • youtube23.4k
  • Instagram18.9K

Stay Informed With the Latest & Most Important News

I consent to receive newsletter via email. For further information, please review our Privacy Policy

Categories
Loading Next Post...
Follow
Sign In/Sign Up Search Trending 0 Cart
Popular Now
Loading

Signing-in 3 seconds...

Signing-up 3 seconds...

Cart
Cart updating

ShopYour cart is currently is empty. You could visit our shop and start shopping.