Mara nyingi mastaa wakiamua kuingia
kwenye nchi fulani kwa ajili tu ya kuenjoy huwa wanafanya safari zao
kimya kimya ili kuondoa mazingira ya kukutana na misukosuko ya fans
ambao labda wangejaa kila anapoenda.. Akon aliwahi kufanya surprise ya hivi Kenya mwaka jana.
kwenye nchi fulani kwa ajili tu ya kuenjoy huwa wanafanya safari zao
kimya kimya ili kuondoa mazingira ya kukutana na misukosuko ya fans
ambao labda wangejaa kila anapoenda.. Akon aliwahi kufanya surprise ya hivi Kenya mwaka jana.
Akon aliingia kimya kimya na kuwa sehemu ya mashabiki wa nguvu waliojitokeza kwenye show ya Rapper 2 Chainz iliyofanyika December 2014 Nairobi.
Najua hii inakuwa good news watu wa Nairobi kwa mara nyingine, Akon anarudi wiki ijayo kwa ajili ya fainali za shindano la Airtel Trace Music Star itakayofanyika March 28 Enashipae Resort, Naivasha.

Akon atakuwa na team ya watu watatu ikiwemo Devyne Stephens ambae ndiye aliyegundua kipaji cha Akon kimuziki na kumtoa kwenye game kupitia lebo yake ya UpFront Records.
Mastaa hao ni sehemu ya meza ya Majaji wa shindano hilo.
Recommended Products
-
2025 Summer Rapper Feid Ferxxo Men’s Cotton Fashion Hip-hop T-shirt Casual and Comfortable Short-sleeved T-shirt Street Wear
Affliate products $22.00 -
3 IN 1 Magnetic Folding Wireless Charger Station For IPhone Transparent Fast Charging For IWatch And Airpods
Affliate products -
Grandpa Of Love hoodies Human French Letters Dad Papa Papy Gift Men Clothing hoodies
Affliate products $22.00 -
Sale!
Lenovo D18 Drone 8K Aerial HD Dual-Camera Intelligent Obstacle Avoidance Brushless Power 5G WIFI Screen Remote Control GPS Drone
Affliate products Original price was: $7.99.$7.89Current price is: $7.89. -
Mini Portable Face Cordless Shavers Rechargeable USB Electric Shaver Wet & Dry Painless Small Size Machine Shaving For Men
Affliate products $44.00 -
New Original T75 Bone Conduction Wireless Bluetooth 5.3 Headphones Sports Earphones HiFi Sound Quality Waterproof TWS Headset
Affliate products $3.33






