![]() |
| Wema Sepetu |
Staa mrembo kutoka Bongo Movies, Wema Sepetu mwenye followers zaidi ya
laki nne kwenye mtandao wa Instagram kwa siku za hivi karibuni
ameonyesha njia kwa mastaa na watu wengine baada ya kuamua kuanza
kuposti jumbe mabalimbali zenye manufaa kwa jamii na sio majungu ambayo
hayana faida yoyote, Wema amekua akiachia jumbe hizo na huku akitumia
tag mbili za BeWemaFanyaWema na 2015WalkToRemember.
Amekuwa akiandika vingi kuhamasisha wanawake kwenye kujitafutia
maendeleo huu ni muendelezo tu. Baada ya hivi juzi kuwa balozi na
kuzindua gari mpya ya kampuni ya Mitsubishi ASX alibandika hii.
“Mwanamke simama imara. Usipojiamini mwenyewe atakuamini nani? Hamna kisichowezekana!”
Huu ni mfano mzuri sana Madam tupo nyuma yako.
Recommended Products
-
2025 Summer Rapper Feid Ferxxo Men’s Cotton Fashion Hip-hop T-shirt Casual and Comfortable Short-sleeved T-shirt Street Wear
Affliate products $22.00 -
3 IN 1 Magnetic Folding Wireless Charger Station For IPhone Transparent Fast Charging For IWatch And Airpods
Affliate products -
Grandpa Of Love hoodies Human French Letters Dad Papa Papy Gift Men Clothing hoodies
Affliate products $22.00 -
Sale!
Lenovo D18 Drone 8K Aerial HD Dual-Camera Intelligent Obstacle Avoidance Brushless Power 5G WIFI Screen Remote Control GPS Drone
Affliate products Original price was: $7.99.$7.89Current price is: $7.89. -
Mini Portable Face Cordless Shavers Rechargeable USB Electric Shaver Wet & Dry Painless Small Size Machine Shaving For Men
Affliate products $44.00 -
New Original T75 Bone Conduction Wireless Bluetooth 5.3 Headphones Sports Earphones HiFi Sound Quality Waterproof TWS Headset
Affliate products $3.33







